Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

Toa hela hizo apande bolt mnajua kuwala tu na kuja kulalamika humu kweli wanaume tumebaki wachache sana. Weka namba yake hapa nimtumie laki 2
mtumie laki2 mama yako anakula dagaa zinaongeza uric acid chanzo cha ugonjwa wa figo mimi ni nabii nb nisamee kwa kusema hivi
 
Ni kwel kabsa uyo hana akili na kama angelikua na akili ange bolt lakin pia sku izi safiri za kukodi ni nyingi angepanda
 
Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Another Proof yaani akishakuwa na matako Tu hata awe na PhD ni bure kabisa.

Kwanza unaishije Kifuru huko karibu na kisarawe na ufanye kazi Posta? Hata kama Una gari hizo gharama zake kwa siku ni nyingi Sana.

Na hapo hapo hela ya betri Tu ni mtihani🤣🤣
 
Toa hela hizo apande bolt mnajua kuwala tu na kuja kulalamika humu kweli wanaume tumebaki wachache sana. Weka namba yake hapa nimtumie laki 2
Jamaa kashamla kamchoka, amesoma vizinga vimezidi sasa anamtpa akili
 

Ukifikiria vizuri utagundua kuwa wewe ndio hauko sawa...
hapo dada hajaomba lifti, ILA aliomba msaada wa namna rahisi ya kumfikisha kazini.
Ungeweza kumpa plan ya either
1. Mtu wa kumsaidia kuiwasha gari yake (ili baade umsaidie kupata Battery Mpya)
2. Ungemtafutia usafiri mbadala; Indrive/Bolt nk kama huna hela ya kumwitia BOLT ungemshauri achukua mwenyewe.
Pamoja na kuwa nipo zangu Shytown, naweza kuwa wa msaada kuliko wewe....
SIFA MOJAWAPO YA MWANAMME NI KUWA NA UWEZO WA KUTATUA CHANGAMOTO!
 
Mimi niko feshy tu mkishaniweka kwenye kitengo lazima mnijue A-z
A-Z before kitengo ndiyo rule number one kwetu.

So we toa address yako then sisi tutakuchunguza kwa muda/njia zetu tuone kama unaweza jiunga na crew yetu final nitakwambia if you in or out.
 
Trust me akili anazo sana!!

Ana mpango wa kukufanya mjinga tu,ukikubali TU anakuchukulia we wa hivyo!!

Huwa wana test mitambo kuona umejiwekaje!!
 
A-Z before kitengo ndiyo rule number one kwetu.

So we toa address yako then sisi tutakuchunguza kwa muda/njia zetu tuone kama unaweza jiunga na crew yetu final nitakwambia if you in or out.
Sawa location nawatumia very soon!
 
ALICHOOMBA NI KITU KIDOGO/KIDUCHU HALAFU UNALALAMIKA HADHARANI UTAFIKIRI AMEKUOMBA UMJENGEE NYUMBA
 
Mpe ID yangu anifuate PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…