Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

Umesema mtamu? That’s means mko mapenzini, usafiri wake sio mbovu wala sio hana akili, amezama kwako, amekumisi na anataka kuwa karibu yako anatengeneza sababu za kuonana na wewe, sasa hapo nini usichokielewa???
Vijana kila kitu tuwafundishen?
 
Huyo mwanamke haitaji vyote hivyo, anataka tu kumwona jamaa yake hana lolote
 
Umesema mtamu? That’s means mko mapenzini, usafiri wake sio mbovu wala sio hana akili, amezama kwako, amekumisi na anataka kuwa karibu yako anatengeneza sababu za kuonana na wewe, sasa hapo nini usichokielewa???
Vijana kila kitu tuwafundishen?
Wafundisheni kwakweli wanatia aibuπŸ˜…
 
vijana wanapotea kwa kukosa maarifa,
Jambo dogo kama hili ni la kuleta jf kweli?
Nachoka mimi kijana wa zaman
Siku hizi hata ukimjambia unaanzishiwa uzi, usichoke bado mapema sanaπŸ₯Ί
 
mtumie laki2 mama yako anakula dagaa zinaongeza uric acid chanzo cha ugonjwa wa figo mimi ni nabii nb nisamee kwa kusema hivi
Nipe namba ya mama yako nimtumie nipajue na kwenu mwanangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…