Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

wadau wanatoa bure

ila sasa what are the odds kwamba jamaa kakutana na mdau?

na hua haitolewi hivi hivi kuna matayarisho yake ujue

una hoja, ila nikivuta picha duh

hata huyu Chizi Maarifa na uchizi wake hua anasema hapendi upung'a
Inawezekana hajakutana na mdau, ila akafanyiwa conversion moja matata akawa mdau. Watu wanabebelezwa, wanaume wanajua kubembeleza.

Sisi tunaotaka kuiona mbingu ndio tunaangalia pembeni, ila wenzetu wameamua linalool na liwe wanabonyeza tu.
 
Back
Top Bottom