TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Mshahara wa DHAMBI ni mauti.KINADADA MUNAOJIUZA ACHENI.Mwanamke aliyefahamika kwa jina moja la Latifa, anayefanya biashara ya ngono, amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukutwa ndani ya chumba namba nne katika Lodge ya Dolphin, eneo la Kaloleni jijini Arusha, usiku wa kuamkia Oktoba 18, 2026.
Kwa mujibu wa mashuhuda, Latifa alikuwa amepangisha chumba hicho kwa Shilingi 30,000 tangu mchana, kabla ya kuingia na mwanaume aliyedaiwa kuwa mteja wake. Baadaye, marafiki zake walipoona hajatoka kwa muda mrefu, waliamua kwenda kuangalia kilichokuwa kikiendelea.
Walipoingia chumbani, walimkuta Latifa akiwa uchi, mikono imefungwa, mdomo umezibwa na mtandio ukiwa umefungwa shingoni mwake, hali iliyozua hisia kuwa huenda alinyongwa.
Marafiki zake walimkimbiza katika Hospitali ya Mount Meru kwa ajili ya kupata msaada wa matibabu, lakini walipofika walibaini kuwa tayari amefariki dunia.
Mwanaume aliyeingia naye chumbani anadaiwa kuondoka na fedha pamoja na simu ya marehemu. Hata hivyo, utambulisho wake na chanzo rasmi cha kifo cha Latifa havijathibitishwa, huku uchunguzi wa mamlaka husika ukihitajika kubaini ukweli wa tukio hilo.
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/2563543007406275/?mibextid=9drbnH
Siku hizi Wanaume wamechoka ujinga, mademu wanajifanya wajanja kula hela za bure, kila mtu wanataka kumuona ni Msukuma katoka poriniMwanamke aliyefahamika kwa jina moja la Latifa, anayefanya biashara ya ngono, amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukutwa ndani ya chumba namba nne katika Lodge ya Dolphin, eneo la Kaloleni jijini Arusha, usiku wa kuamkia Oktoba 18, 2026.
Kwa mujibu wa mashuhuda, Latifa alikuwa amepangisha chumba hicho kwa Shilingi 30,000 tangu mchana, kabla ya kuingia na mwanaume aliyedaiwa kuwa mteja wake. Baadaye, marafiki zake walipoona hajatoka kwa muda mrefu, waliamua kwenda kuangalia kilichokuwa kikiendelea.
Walipoingia chumbani, walimkuta Latifa akiwa uchi, mikono imefungwa, mdomo umezibwa na mtandio ukiwa umefungwa shingoni mwake, hali iliyozua hisia kuwa huenda alinyongwa.
Marafiki zake walimkimbiza katika Hospitali ya Mount Meru kwa ajili ya kupata msaada wa matibabu, lakini walipofika walibaini kuwa tayari amefariki dunia.
Mwanaume aliyeingia naye chumbani anadaiwa kuondoka na fedha pamoja na simu ya marehemu. Hata hivyo, utambulisho wake na chanzo rasmi cha kifo cha Latifa havijathibitishwa, huku uchunguzi wa mamlaka husika ukihitajika kubaini ukweli wa tukio hilo
Factors ni nyingi wengine wameshaumizwa kimapenzi mpaka wanaona hawana thamani tena na hawajali kitu chochote, facto nyingine ni uvivu, hawapendi kufanya kazi, yeye mchana yoote anashinda amelala, ukifika usiku ni kwenda kutapeli watuAisee..
Hivi mpka mtu unaamua kufanya hii biashara(ya ngono) unakuwa umekosa kazi nyingine?
Huwa nawashangaa sana wanawake wa aotanguliza hela kwenye mapenzi, yaani huwa anawaona zero kichwani kabisa.
Wanawake wenye mindset ya namna hiyo wasio na haya huwa nawaona kama waaliokata tamaa
Wanadhani kila kitu ni simple tu, alafu kikiwalamba wanakuja kuanza kusema wanaume ni mbwa. Wakati wao walipaswa kujitambua na kujua thamani yao sio makebo, bali nguvu na akili walizopewa na muumbaFactors ni nyingi wengine wameshaumizwa kimapenzi mpaka wanaona hawana thamani tena na hawajali kitu chochote, facto nyingine ni uvivu, hawapendi kufanya kazi, yeye mchana yoote anashinda amelala, ukifika usiku ni kwenda kutapeli watu