Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,297
- 16,573
Yani umuoe malaya 🤔Dah demu mkali hvy afu unakuwa malaya ðŸ˜
Sio huyo tuu, wapo kibao, Unakutana na demu afu malaya mpaka unatamani umuoe
Wadada, h inawezekana vp aisee mbona hua sielewi?
Yani umuoe malaya 🤔Dah demu mkali hvy afu unakuwa malaya ðŸ˜
Sio huyo tuu, wapo kibao, Unakutana na demu afu malaya mpaka unatamani umuoe
Wadada, h inawezekana vp aisee mbona hua sielewi?
Soma tena nilichoandika na uelewe kwa kutumia akiliYani umuoe malaya 🤔
... anayefanya baiashara ya ngono! Ila kanavutia kwa sura ndani uozo! Rip.anayefanya biashara ya ngono
Nimeelewa vyema ulichoandika ndo maana nimeuliza hivyoSoma tena nilichoandika na uelewe kwa kutumia akili
Sawa mkuuNimeelewa vyema ulichoandika ndo maana nimeuliza hivyo
Kuna malaya aliniambia 50k bao moja, nikamtumia video nikiwa napiga nyeto na sabuni ya 200 😎Demu yeyote akishajiona au kusifiwa yeye ni mzuri basi anaona fursa njia ya kutoka kimaisha huku akiwalaghai wanaume wampe pesa nyingi Kwa ngono ya usiku mmoja.
Yaani unaweza toa pesa hata Milioni 5 halafu anakupa bao mbili kisha anakutafutia sababu eti muachane.
Sasa anikute Mimi napotezea akiwakuta wenye uchungu na pesa zao basi mwanamke anafia lodge.
Pesa ngumu acheni masihara
Atakua mrangi tu. Jina la ndugu zetu katika imani muuza nyapuMwanamke aliyefahamika kwa jina moja la Latifa, anayefanya biashara ya ngono, amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukutwa ndani ya chumba namba nne katika Lodge ya Dolphin, eneo la Kaloleni jijini Arusha, usiku wa kuamkia Oktoba 18, 2026.
Kwa mujibu wa mashuhuda, Latifa alikuwa amepangisha chumba hicho kwa Shilingi 30,000 tangu mchana, kabla ya kuingia na mwanaume anayedaiwa kuwa mteja wake. Baadaye, marafiki zake walipoona hajatoka kwa muda mrefu, waliamua kwenda kuangalia kilichokuwa kikiendelea.
Walipoingia chumbani, walimkuta Latifa akiwa uchi, mikono imefungwa, mdomo umezibwa na mtandio ukiwa umefungwa shingoni mwake, hali iliyozua hisia kuwa huenda alinyongwa.
Marafiki zake walimkimbiza katika Hospitali ya Mount Meru kwa ajili ya kupata msaada wa matibabu, lakini walipofika walibaini kuwa tayari amefariki dunia.
Mwanaume aliyeingia naye chumbani anadaiwa kuondoka na fedha pamoja na simu ya marehemu. Hata hivyo, utambulisho wake na chanzo rasmi cha kifo cha Latifa havijathibitishwa, huku uchunguzi wa mamlaka husika ukihitajika kubaini ukweli wa tukio hilo.View attachment 3692972
Arusha na Moshi wanauza nyama kama Tailand tu kmmk. Tofaut na zamanArusha wajinga wana wivu wa kijinga sana aisee anamuonea wivu mpaka muuza nyama kisa kaingia king ya kumlipia baadhi ya huduma wauaji watakamatwa tu maana hapo Kaloleni ni sehemu ndogo sana kujua mishe mishe za watu ni rahisi pia..
Tamaa na kutopenda kuwajibika, maumivu kwenye mapenzi yanamfanya apoteze utu na kutojali chochote, mwisho anaone Bora ajiuze tu, hapo ukifatilia utakuta Mama yake alikuwa single Maza alimlea kwa tabu sanaDah demu mkali hvy afu unakuwa malaya ðŸ˜
Sio huyo tuu, wapo kibao, Unakutana na demu afu malaya mpaka unatamani umuoe
Wadada, h inawezekana vp aisee mbona hua sielewi?
Nadhani mikoa yote ipo sehemu rasmi za kuuza nyama nilienda hapo Temeke baada ya mechi ya watani kulikua na zoezi la kugawa bure nyama..Arusha na Moshi wanauza nyama kama Tailand tu kmmk. Tofaut na zaman
Hapo kwenye single mother sasa 😂Tamaa na kutopenda kuwajibika, maumivu kwenye mapenzi yanamfanya apoteze utu na kutojali chochote, mwisho anaone Bora ajiuze tu, hapo ukifatilia utakuta Mama yake alikuwa single Maza alimlea kwa tabu sana
HahahaAtakua mrangi tu. Jina la ndugu zetu katika imani muuza nyapu