Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,289
- 5,964
Kabisa au alijaribu kumuibia jamaa akastukaUnaweza kuta mtu amenyongwa kwa sababu ya kula nauli tu 10k
Kabisa au alijaribu kumuibia jamaa akastukaUnaweza kuta mtu amenyongwa kwa sababu ya kula nauli tu 10k
YeahKabisa au alijaribu kumuibia jamaa akastuka
Tatizo la bongo ni lodge iweje hakuna kamera, hakuna check out nairobi wana utaratibu mzuri japo ni kero ila unasaidia anayeingia na demu hatoki peke yake, akitoka kabla hajavuka reception wanapiga simu kujua alibaki yukoje au mlinzi wa juu anafanya check-in then wanawasiliana ndio unaruhusiwa kutoka, huu ni uzembe bongo umezidi
Tushaskia alikuwa dada poa anaemiliki iphonePole sana Latifa. Walimwengu hawana jema watakuhukumu tu wakati hawajawahi kukuona wala kukusikia kabla. Nakutakia amani huko uliko.
Mwaka tunaumaliza kwa kishindoWanaume TMK Family mwaka huu tumetisha sana.
Mbaga umeona malaya ambavyo hatukwepeki eenhe 😂Demu akishakuwa malaya tena nayemjua huyu n Malaya tayari n kikwazo kwangu, bora nioe hawa malaya wetu wa indirect
tanzania kuna mauji mengi sana kila siku inaripotiwa taarifa ya kifoMajuzi tena aliuawa Mwanamke aliyekuwa akiuza katika baa hukohuko Arusha
Na wale wanaume wanauliwa na wanawake km yule wa Njombe mboni sijaona bango?
Dah kumbe hadi bongo wapo hao serial killers? Nilidhani ni mtoni tu. Labda kwasababu hawatangazi bongo.Huyo kakutana na serial killer
Ova
Ndio ufanye hiyo kazi ya kutembeza bango lenu kila jukwaaNa wale wanaume wanauliwa na wanawake km yule wa Njombe mboni sijaona bango?
Muulize bro Jagina amebobea kwenye hiyo fani hasa kuweka hizo camera gesti.Hiyo Lodge haina mfumo wa camera Reception ili kubaini aliingia na nani mara ya mwisho?
Roho mtakatifu wa kanisa lako ndiye mtaalamu zaidiMuulize bro Jagina amebobea kwenye hiyo fani hasa kuweka hizo camera gesti.
Muulize bro Jagina amebobea kwenye hiyo fani hasa kuweka hizo camera gesti.
Mnawaumiza.Dah demu mkali hvy afu unakuwa malaya 😭
Sio huyo tuu, wapo kibao, Unakutana na demu afu malaya mpaka unatamani umuoe
Wadada, h inawezekana vp aisee mbona hua sielewi?
Dah pole yao, mm kwenye hy dhambi ya kuwaumiza sinaMnawaumiza.
Wengine wanajikatia tamaa ndio wanafikia huko
Ww sio malaya bhana 😂Mbaga umeona malaya ambavyo hatukwepeki eenhe 😂
Good morning… RIP mdada mzuri Latifa.
SIsi wengine tuna roho za malaika.Duh.... wanaume?