ugisi za nzise
Member
- Oct 6, 2026
- 48
- 170
1995_No_Ku_Fake utakua ivi muda sio mwingiKwa mujibu wa mashuhuda, Latifa alikuwa amepangisha chumba hicho kwa Shilingi 30,000 tangu mchana, kabla ya kuingia na mwanaume aliyedaiwa kuwa mteja wake.
1995_No_Ku_Fake utakua ivi muda sio mwingiKwa mujibu wa mashuhuda, Latifa alikuwa amepangisha chumba hicho kwa Shilingi 30,000 tangu mchana, kabla ya kuingia na mwanaume aliyedaiwa kuwa mteja wake.
Ndg Angu Jiheshimu Bhona Me Nakuheshima Shida Angu Isikufanyeee unifatilie Sana1995_No_Ku_Fake utakua ivi muda sio mwingi
Hiyo Lodge haina mfumo wa camera Reception ili kubaini aliingia na nani mara ya mwisho?Mwanamke aliyefahamika kwa jina moja la Latifa, anayefanya biashara ya ngono, amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukutwa ndani ya chumba namba nne katika Lodge ya Dolphin, eneo la Kaloleni jijini Arusha, usiku wa kuamkia Oktoba 18, 2026.
Kwa mujibu wa mashuhuda, Latifa alikuwa amepangisha chumba hicho kwa Shilingi 30,000 tangu mchana, kabla ya kuingia na mwanaume aliyedaiwa kuwa mteja wake. Baadaye, marafiki zake walipoona hajatoka kwa muda mrefu, waliamua kwenda kuangalia kilichokuwa kikiendelea.
Walipoingia chumbani, walimkuta Latifa akiwa uchi, mikono imefungwa, mdomo umezibwa na mtandio ukiwa umefungwa shingoni mwake, hali iliyozua hisia kuwa huenda alinyongwa.
Marafiki zake walimkimbiza katika Hospitali ya Mount Meru kwa ajili ya kupata msaada wa matibabu, lakini walipofika walibaini kuwa tayari amefariki dunia.
Mwanaume aliyeingia naye chumbani anadaiwa kuondoka na fedha pamoja na simu ya marehemu. Hata hivyo, utambulisho wake na chanzo rasmi cha kifo cha Latifa havijathibitishwa, huku uchunguzi wa mamlaka husika ukihitajika kubaini ukweli wa tukio hilo
😁😁😁1995_No_Ku_Fake utakua ivi muda sio mwingi
Amekufa kishujaa akiwa kwenye Mapambano au sioPole sana Latifa. Walimwengu hawana jema watakuhukumu tu wakati hawajawahi kukuona wala kukusikia kabla. Nakutakia amani huko uliko.
Unamlaumu mhanga? Sijui una miaka mingapi lakini maisha yana changamoto nyingi. Na pia... hata kama ni changudoa lakini siyo haki (hata kwa Mungu) kuuawa. Nina uhakika wewe umeshafanya kosa au dhambi kubwa hii ya uchangu... ulistahili kuuawa?Wanadhani kila kitu ni simple tu, alafu kikiwalamba wanakuja kuanza kusema wanaume ni mbwa. Wakati wao walipaswa kujitambua na kujua thamani yao sio makebo, bali nguvu na akili walizopewa na muumba
Mara Mia nione mwanamke anatembeza karanga barababarani
Mtoa hukumu umefikaAmekufa kishujaa akiwa kwenye Mapambano au sio
Utajua mwenyeweMtoa hukumu umefika
Tatizo la wengi hapa mnatoa hukumu bila hata kujua tukio lilivyokuwa. Huyu anaweza kuwa ni jambazi anayeua ili kupora fedha lakini mnaingiza mambo mengine kabisa.Siku hizi Wanaume wamechoka ujinga, mademu wanajifanya wajanja kula hela za bure, kila mtu wanataka kumuona ni Msukuma katoka porini
Tamaa ya kumilika vitu na maisha fake ya mitandaoni inawaendesha puta
Id nyingine unapondea wanaopenda ela na kujiuza nyingine unaomba ela kwa sledi lukuki 🚮🚮Ndg Angu Jiheshimu Bhona Me Nakuheshima Shida Angu Isikufanyeee unifatilie Sana
Kulaumu ni kwepesi sana. Lakini kwa taarifa yako, hao watu walikuwepo kabla ya dini, kabla ya Yesu Kristu na wapo dunia nzima na HAKUNA uwezekano wa kuisha.Aisee..
Hivi mpka mtu unaamua kufanya hii biashara(ya ngono) unakuwa umekosa kazi nyingine?
Huwa nawashangaa sana wanawake wa aotanguliza hela kwenye mapenzi, yaani huwa anawaona zero kichwani kabisa.
Wanawake wenye mindset ya namna hiyo wasio na haya huwa nawaona kama waaliokata tamaa
Kuna methali inayosema, Nguo ya kuzima haisitiri matako, ndio mambo kama haya.Ndg Angu Jiheshimu Bhona Me Nakuheshima Shida Angu Isikufanyeee unifatilie Sana
Una utu sana🙏Pole sana Latifa. Walimwengu hawana jema watakuhukumu tu wakati hawajawahi kukuona wala kukusikia kabla. Nakutakia amani huko uliko.