Dada Poa anayeitwa Latifa adaiwa kuuwawa na "Mteja". Akutwa uchi akiwa amenyongwa

Dada Poa anayeitwa Latifa adaiwa kuuwawa na "Mteja". Akutwa uchi akiwa amenyongwa

Ww sio malaya bhana 😂
😂😂
Ila ndo hvy umasikini na nyege ndo zinawafanya kutoka na wanaume tofauti tofauti, na hapo ndipo suala la umalaya linaanza 😂

Kama una mshikaji wako unajua n bikra hata kama n sura ya baba naomba umpe namba yangu, nna shida ya mwanamke wa kuwa nae
😂😂😂 Mshikaji bikra ntamtoa wapi? Hata watoto wa miaka 16 sina uhakika maana wanaume hamkawiii
 
Wanawake wadangaji muwe makini sana na wateja wenu wanaowachukua ambao hamuwafahamu vizuri...mtanyofolewa manyonyo ,sehemu za siri na baadhi ya viungo vya ndani.
 
Aisee..
Hivi mpka mtu unaamua kufanya hii biashara(ya ngono) unakuwa umekosa kazi nyingine?
Tema mate aisee, usiseme hivyo. Mtu Mdada hana cha kufanya(amepigika mno) hajala chochote say siku nzima, mwenye nyumba anataka kodi yake (mahali pengine, baadhi ya hao wadada wana watoto 1-2) ni ngumu kueleza
mwisho wa siku giza limeingia afanyeje?? Analazimika kukubaliana na matokeo -sio hiari yake.
Huwa nawashangaa sana wanawake wa aotanguliza hela kwenye mapenzi, yaani huwa anawaona zero kichwani kabisa.
Hayo broo, sio mapenzi na wala mdada hafurahii chochote hapo. Anazuga-zuga tuu ilimradi apate fedha ya kujikimu.
Wanawake wenye mindset ya namna hiyo wasio na haya huwa nawaona kama waaliokata tamaa
Mkuu; Hebu jaribu kufanya walau ka-uchunguzi au wasiliana na watu wa Maendeleo ya Jamii (Community Devpt. Workers) ili ujue baadhi ya changamoto Ke wanazokabiliana nazo hadi kufikia hatua ya kujitoa mhanga kuwa Dada Poa. It is Pathetic broo.
Sikatai kwamba wapo wale ambao wana sababu za Kipumbavu au ni sababu za Kizembe zilizotokana na kiburi, dharau, majivuno au kufuata mkumbo wakati wa Malezi kutoka kwa wazazi na Walezi wao.
 
Hiyo Lodge haina mfumo wa camera Reception ili kubaini aliingia na nani mara ya mwisho?
Unawekaje camera kwenye Danguro hio ni lodge tu kwa nje ila ndani ni danguro na hakuna mgeni analala hio lodge imechukuliwa na wadada wanaojiuza yoteee
 
Unawekaje camera kwenye Danguro hio ni lodge tu kwa nje ila ndani ni danguro na hakuna mgeni analala hio lodge imechukuliwa na wadada wanaojiuza yoteee
Unashauri nini kifanyike kwenye hayo unayoyaita madanguro?
 
Back
Top Bottom