Dada Poa anayeitwa Latifa adaiwa kuuwawa na "Mteja". Akutwa uchi akiwa amenyongwa

Hapo kwenye single mother sasa 😂

Sema ukweli n bc tuu malaya wanatusaidia, ila binafsi nakutana na malaya pisi kinoma mpaka najiuliza huyu alikosa nn mpaka kufikia hapo, mbona huyu n mali kabisa ya kuweka ndani.
Mbona wengi kuolewa wanataka au hujaamua Tu, chukua jiko
 
Wanawake wajinga sana
Miye mwenyewe nilishawahi opoa hao wanaojiuza akanywa pombe yangu baabaye tukaende guest kabla ya yote akaniambia nitoe 50 wakati huo matarajio yangu ni 10 tukabishana wee baadaye nikampa hiyo 50.
Nimefanya mambo yangu baadaye tukapumzika dk 10 nasikia anakoroma amelala nikafungua mkoba wake nikachukua 40 nikamuachia 10.
Wangekuwa wapuuzi wengine wangemmaliza
 
Hapana aisee, bora nioe malaya ambaye sijui historia yake kuliko yule nayemjua mana najua siwez kupata demu bikra, hawa hawa malaya wa mtaa ndo tutaoa 😂
 
Dolphin walikua wateja wangu wa sabuni za maji dah Arusha Arusha Arusha, na juzi kati tu hapa nimeelezea sijui kwenye Uzi Gani kua nilikua natembeza sana vitumbua hiyo mitaaa ndio inaongoza kwa wanawake kujiuza, juzi tu, pole sana latifa pole dada angu.

Mungu katuusia na kutukanya kuhusu zinaa, Uzi wa riverside nilikemea sana hili swala hayo Maeneo mabaya sana hapo fender itasomba Kila anae katiza.

Jamaa mpumbavu sana kaiba simu tayari kesha kamatwa huyo simu angeacha ila huwezi dhurum nafasi ya mwenzio ukabaki salama never
 
Dah demu mkali hvy afu unakuwa malaya 😭

Sio huyo tuu, wapo kibao, Unakutana na demu afu malaya mpaka unatamani umuoe

Wadada, h inawezekana vp aisee mbona hua sielewi?
Mbona kazi ya kawaida tu hiyo au kuna picha full na umeongelea qualities zingine?
 
Wanawake wajinga sana
Miye mwenyewe nilishawahi opoa hao wanaojiuza akanywa pombe yangu baabaye tukaende guest kabla ya yote akaniambia nitoe 50 wakati huo matarajio yangu ni 10 tukabishana wee baadaye nikampa hiyo 50.
Nimefanya mambo yangu baadaye tukapumzika dk 10 nasikia anakoroma amelala nikafungua mkoba wake nikachukua 40 nikamuachia 10.
Wangekuwa wapuuzi wengine wangemmaliza
Kidogo nikudharau, ila umenifurahisha hapo ulipochukua 40 yako 😂
 
Dolphin walikua wateja wangu wa sabuni za maji dah Arusha Arusha Arusha, na juzi kati tu hapa nimeelezea sijui kwenye Uzi Gani kua nilikua natembeza sana vitumbua hiyo mitaaa ndio inaonhoza kwa wanawake kujiuza, juzi tu, pole sana latifa pole dada angu.
Hv shivaz bado ipo hapo Arusha?
 
Dah demu mkali hvy afu unakuwa malaya 😭

Sio huyo tuu, wapo kibao, Unakutana na demu afu malaya mpaka unatamani umuoe

Wadada, h inawezekana vp aisee mbona hua sielewi?
ukali unahusiana vipi na hela... maana hao wote wanatafta hela

ingekua demu akiwa mkali anakua na pesa basi usingewaona huko udanguroni
 
Dolphin walikua wateja wangu wa sabuni za maji dah Arusha Arusha Arusha, na juzi kati tu hapa nimeelezea sijui kwenye Uzi Gani kua nilikua natembeza sana vitumbua hiyo mitaaa ndio inaonhoza kwa wanawake kujiuza, juzi tu, pole sana latifa pole dada angu.

Mungu katuusia na kutukanya kuhusu zinaa, Uzi wa riverside nilikemea sana hili swala hayo Maeneo mabaya sana hapo fender itasomba Kila anae katiza.

Jamaa mpumbavu sana kaiba simu tayari kesha kamatwa huyo simu angeacha ila huwezi dhurum nafasi ya mwenzio ukabaki salama never

Defender isombe kila anae katiza, Bro wake up its 2026 not 1976.

Wafanye uchunguzi wakamate alie tenda kosa.
 
Back
Top Bottom