Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?


All hail the Queen [emoji1477].! Gachu Mama
 

Mkuu Ubahili muhimu..! Kutoboka sana alfu mwisho wa siku anakuambia mie nina mtu tayari sitaweza unakomaa lakini wapi ..! Suala la kujitoa kwa mwanamke linategemea attitude yake ikoje, wengine hata hiyo kupiga story anakuwa anajibu majibu fulani very disappointing.
Anyway, nimekuelewa Mkuu, Ahsante kwa Tips
 
Mkuu wewe ni matured man, wanaume wengi huwa hawataki kuelewa hisia za wanawake
 
Mkuu wewe ni matured man, wanaume wengi huwa hawataki kuelewa hisia za wanawake
Cariha ulikua wapi siku zote kamanda wangu[emoji23][emoji23]

Halaf nilipita arusha chaap.sana kwa haraka last week
 
Cariha ulikua wapi siku zote kamanda wangu[emoji23][emoji23]

Halaf nilipita arusha chaap.sana kwa haraka last week
Nipo kipenzi aisee nilikuwa tu siingii na kuchangia Sasa hivi siko huko Tena aisee
 
Nipo kipenzi aisee nilikuwa tu siingii na kuchangia Sasa hivi siko huko Tena aisee
Ooh jamani.. sad umeondoka huko..

Nilikimiss huku. Kuna watu wanajiachia achia ovyo kama huyu mletaada hapa[emoji23] unanisaidiaga sana kuwaweka sawa hawa wavulana. Mtu anafikiria ana haki ya kikubaliwa na mwanamke yeyote simply because ni 28 and above[emoji706][emoji706].
 
Mkuu,
Unatakiwa kuelewa kua Zama tulizokuapo sio zile za mwaka 47.

Miaka iyo,
Maisha yangeweza kwenda bila hata Nguvu ya pesa.
Alkadhalika Mahusiano nayo yangewezekana kabisa bila kuhusisha pesa.

Zaman,
Uko na Mpenz Wako amebanwa na kiu, uliweza kwenda ata kwa jirani kumwombea maji ya kunywa, na Mambo yakawa sawia.


Nikwambie TU UKWELI mchungu,
Kwa Sasa Zama izo za mahusiano ya bureau bure zimeshapitwa na wakati, Dunia inaenda Kasi sana na kila kitu kinahitaji pesa.

Ukishajiona unamhitaji mwanamke, Basi mtengee bajeti.

Narudia Tena,
"TENGA BAJETI YA MAHUSIANO"

Ndio,
Inatwa bajeti ya mahusiano kwa maana.

wewe Kama mwanaume mustakabali mzima wa mahusiano Uko mikononi mwako.

Bills na expenses zote za mahusiano zinapaswa kua chini yako wewe, na Hilo halina excuse labda mwanamke mwenyewe atake kuchangia TU for pleasure.

Vinginevyo,
Kama mfuko unakubana Sana, ACHANA kabisa na ishu za mahusiano kwa wakati huo. Concentrate na ishu nyingine.

KUA SINGLE SIO DHAMBI na SIO LAZIMA KILA WAKATI UWE KWENYE MAHUSIANO.

Kuna MDA unatakiwa kua nje ya mahusiano for Good ukizitafuta pesa,

Mambo yakikaa sawa
ukiingia Kwenye mahusiano Ni full kuenjoy TU.
 
Yes dear MDA kidogo.
[emoji3][emoji3][emoji3] Huwa nawanyoosha wavulana wa jf kidogo aisee eti kwa vile mwanamke ana age flani basi awe ka jalala la jiji kupokea kila mwanaume tu pia umri ni baraka ni wengi hawajafikia huo umri, why judge someone kwa sababu hataki utakalo inasikitisha Sana.
 

 
[emoji23][emoji23] hebu rudi uwape dozi hawa wajinga wajinga.

Halaf kwa uanaume gani alio nao hadi awe na mwanamke. Kwanza huyu bia alizokunywa amejaza kwenye daftari la Manka la madeni
 
We jamaa najuwa utakuwa unajipitisha pitisha hapo kwenye ki grocery unajiuzisha sura ,eneo la kazi la huyo duπŸ˜‚πŸ˜‚...

Kwanini hukumuomba namba sasa kama hiwa unaongea nae?
Kwanza ulitakiwa uanze kuyonhoza kabla ya namba hapo hapo face to face ..
Kijana unashindwa hata ku flirt πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahah we jamaa lazima utakuwa 21~24yrs
 
Hakuna kitu kama hicho usijitete πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nipe namba yake mkuu nikuunganishie !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…