Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
- Thread starter
- #201
Kwani ulishindwa nini kumuomba namba wewe mpaka uombe kwa rafiki yake? Hata ningekua mimi cha kwanza ntakuuliza umepataje namba yangu halafu baada yapo ndio nikuulize una shida gani
Halafu hakuna kitu kinawaudhi mabinti kama kuchukua namba yake kupitia marafiki bila ridhaa yake, mwingine hata kama ana nia ya kukubali ombi lako anasita, anaona kama wewe sio mwanaume jasiri
Mwisho, usimhukumu kwa sababu ya umri, 28+ has nothing to do with her relationship status, pengine she has goals to achieve kabla hajajiingiza kwenye commitment za mahusiano, au pengine marriage is not her priority for now na pengine ana sababu zake binafsi au ana mahusiano yake ya siri, you guys are too judgemental
All hail the Queen [emoji1477].! Gachu Mama