Hatari sana love. ππ Pole kwa kuchokamo.Unajua nini love, huyu kafanya kama wale wasanii wanaochora watu kwa mkono....utajiskiaje unapita mahali halafu ghafla unakutana na ama picha yako au ya mtu unaemjua imechorwa vizuuri kwa mkono? Hapo lazima uchoke mpenzi
Hahaha..!!Jina ni IDENTITY ya mtu
sasa inapotokea Watu 10 wapo mbele yako then wote
wanaitwa SweetieLee kunakua hamna maana tena ya jina ulilompa Mtoto
Mtu aitwe jina hata kuwe na watu 200 ukiita MAGUFULIIIIII atatoka mmoja tu
jiloge muite JONIIIIIIII uone hao raia watavyokukimbilia yani utakua na kazi ya kusema
sio wewe sio wewe sio wewe sio wewe NAMTAKA John Pombe Magufuli (utawaona kina joni wote wanarudi)
That means identity ya JOHN sio jina lake tunamtambua kwa identity ya jina la BABU
sasa ndio makorokocho gani hayo,Mpe mtoto jina Gumu then akishakua mkubwa Lazima alitie Swagg
kama wewe Ulivyotia lako "sweetie" Leee ila ukute jina lako halisi unaitwa "Leenyoroooooo"
sasa ili usitutishe ukaamua ulitie swagg saivi kitu kinasoma SweetieLee
Hahahaaa!!! Sisi wenye majina ya kilugha huwa hamtupati hapo.yanakuja soon subiria utabiri wa jina lako mkuu
Kweli kabisamamii, kina Mwafilombe Mwakapipi, Ikupilika Nkoba, Nchumali Wambele, Kukutia Ole Pumbuni na mengine kama hayoHatari sana love. ππ Pole kwa kuchokamo.
Mleta uzi afanye fanye alete haya ya kwetu kina Mwajuma ndala ndefu tujione. π
ukishakua tu mjamzito ntafute nikupe kitu amaizingHahaha..!!
Sema mimi na wewe hatuchekani sana kwa kutumia majina ya uzunguni mkuu maana wewe mwenyewe ni 'controller' tayari,
btw, Kiuhalisia mimi nina jina la kiswahili kabisa sema lenye asili ya kiarabu..! Mara 1 1 kujipaisha na zile majina za wazungu ain't bad idea at all.!!
Sema mwanangu lazima aje kuwa na jina unique sana na lenye maana nzuri pia..! Nitatafuta mtoto siku nikipata jina! π
Mbona wewe pia akili yako imekomea hapo pa1 na kuishughulisha kote huko, au hujui neno "mahusiano" lina tafsiri pana sana? [emoji23]Duuh!! Hivyo Mkuu umeishughulisha akili yako mpaka hapa ndio ukafikia mwisho. Aiseee.
Ni sahihi kabisa Mkuu hujakosea.
Mbona wewe pia akili yako imekomea hapo pa1 na kuishughulisha kote huko, au hujui neno "mahusiano" lina tafsiri pana sana? [emoji23]
π πukishakua tu mjamzito ntafute nikupe kitu amaizing
imagine jina liko multpurpose akija wakike twende,wakiume twende
Usitake kulijua saivi,ngoja ukishashba makande untafute.
So inatafuta jina kwanza then mtoto?? its a little bit awkward π³π³π³Hahaha..!!
Sema mimi na wewe hatuchekani sana kwa kutumia majina ya uzunguni mkuu maana wewe mwenyewe ni 'controller' tayari,
btw, Kiuhalisia mimi nina jina la kiswahili kabisa sema lenye asili ya kiarabu..! Mara 1 1 kujipaisha na zile majina za wazungu ain't bad idea at all.!!
Sema mwanangu lazima aje kuwa na jina unique sana na lenye maana nzuri pia..! Nitatafuta mtoto siku nikipata jina! π
Nawe unaamini hili Mr. Chipmunk?? π πSo inatafuta jina kwanza then mtoto?? its a little bit awkward π³π³π³
Ha ha ha haNimeugawa nilishindwa kuubeba uzito ulinizidia.
K' Matata.
Wazee wa unique names na majina ya kiasili, naomba nikukutanishe na gwiji mmoja wa kuitwa Bufa, Mtanzania khalisi anayesimama kinyume na majina ya kizungu..!! π π