Dada, usiingie kwenye mahusiano na wanaume wenye majina haya

Ukaedit sasa uandike full name wengine tumechanganyikiwa.

Ila umepatia kabisa akina Mohamed wana maneno matamu sana. Akikukosea ukilogwa ukampa nafasi ya kukuomba msamaha hata kama ulikuwa na mpango wa kumwacha lazima ughairi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa honestly nimepata ka harufu ka 'experience'..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…