[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23] [emoji23]
Sitaki kuamini na uzee wote huu nimeuziwa mbuzi kwenye gunia..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23] [emoji23]
Sitaki kuamini na uzee wote huu nimeuziwa mbuzi kwenye gunia..!!
Sawa usilie sasa. Hautaniwi?
Unampanga mzee baba 😉
Tako, nguvu asili ya mwanamke.
Ukizaliwa nalo yaani ukiwa na tako la asili ni tajiri tayari, ila ukiwa na la mchina mafanikio yatakiwa ya muda tuu.
Relax Hazard, mbona B anatania tu hapa jamani..!!
Hebu ninong'oneze hako ka "experience "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa honestly nimepata ka harufu ka 'experience'..!!
Sawa ngoja nikabadilisheUkaedit sasa uandike full name wengine tumechanganyikiwa.
Ila umepatia kabisa akina Mohamed wana maneno matamu sana. Akikukosea ukilogwa ukampa nafasi ya kukuomba msamaha hata kama ulikuwa na mpango wa kumwacha lazima ughairi [emoji23][emoji23][emoji23]
Good Lord..!!I know babe...nina mood ya ovyo leo,nafikiri damu ina uhitaji wa alcohol kidogo
Umemjuaje Mohammed nje ndani kwa kiwango hicho?? Utaniambia vizuri! Lasivyo nitakusemea!Hebu ninong'oneze hako ka "experience "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NabadooNajua unatania...sema tu leo nimeamka vibaya, mpka nikapige mambo yetu yale ndio nirudi kwenye mstarii[emoji23]
1. John-Ni mpenda sifa na Muongo, Kamwe hawezi kukuruhusu ukashika simu yake
2. Brayton-Anapenda kulalamika muda wote, anaringa, anapenda kubembelezwa na anapenda kulelewa
3. Moses-Ni mkali sana na hapendi kuambiwa ukweli
4. Joseph- Mcha mungu, anafanya maovu yake kwa siri sana.
5. Steve- mbahiri sana na anapenda kutembea na Mijimama
6. Hussein-Anaweza kuwa na michepuko zaidi ya mitatu ndani ya nyumba moja na msijuane.
7. Omari-anapenda ubabe wa kijinga kila kitu lazima mshindi awe yeye
8. Robert-Ana roho mbaya na ana mkono mwepesi wa kupiga mwanamke
9. Thomas-Ana hasira za karibu
10. Frank-Kwa kifupi ni pasua kichwa, Mlevi na Mkorofi hapendi marafiki wa kiume wa demu wake. Ila ni muongoji mzuri tu.
11. Fred-Ana wivu kupindukia. Muda wote ana kazi ya kumchunguza mpenzi wake.
12. Raymond-Ana upendo wa dhati tatizo lake Gubu
13. Suleiman-Muda wote yupo busy lakini hana hela, na ana mademu lukuki
14. Richard-Ugomvi wake hauishi, anapenda kukumbushia makosa ya Zamani. Na anapenda kumpigia simu mpnz wake mara kwa mara, kwa siku anaweza kupiga siku hata mara Kumi.
15. Sudi-Ana upendo wa dhati ila tatizo lake akiachana na mwanamke lazima akatangaze madhaifu yake kwa watu
16. Emmanuel-Mpole ila ana tabia za ubinafsi akikosea hapendi kuomba msamaha
17. Gerald-Anapenda Sifa za kijinga
18. Adolf-Hajui mwanamke mwenye sifa gani anamtaka
19. Abel-Kila kitu anakijua yeye, hapendi kuelekezwa
20. Obeid-Msiri sana, hapendi kumwambia mpenzi wake mambo yake ya Kimaendeleo
21. Othuman- Mpole ila siku akikasirika mbingu itapasuka
22. Nelson- ana Mbwembwe sana ila hajui Mapenzi
23. Paul-Anapenda kutoa ahadi zisizokamilika
24. Habibu-Maneno mengi
25. Ally-Ana tabia za Kiswahili sana na anapenda kumlinganisha mpenz wake wa sasa na wa zamani
26. Felix- Mtulivu lakini ana majivuno
27. Ramadhani-Mchafu mpaka Chumbani kwake
28. Raphael-Ana kibuli cha asili, anapenda kubishana hata kwa kitu kidogo
29. Hassan-Mtaratibu, anaweza kuachana na mwanamke bila hata kumwambia
30. Adam-Ni mcheshi mbele za watu ila akiwa na mpenzi wake ana nuna bila sababu
31. Erick-Kila mkikutana anataka mfanye mapenzi, Mlevi na anapenda kutongoza shemeji zake
32. Wilson-Anapenda kusikilizwa yeye tu.
33. Andrew-mwaminifu sana ila akikuchoka utajuta kumfahamu
34. Hamis-Anapenda Ugomvi wakati mwengine bila sababu
35. Derick-Ni zuzu na anapenda sifa sana akiona watu
36. Shedrack-Hawezi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi 3
37. Isaac-Hajivunii mwanamke aliyenae
38. Mudi-Ana maneno matamu ila nyuma ya pazia ana michepuko kibao
39. Ibrahim- Ana hasira za karibu ila akipewa penzi tu hasira zote zinakwisha anaanza kujichekesha chekesha.
40. Juma-Haishiwi sababu na hakuna swali analokosa jibu.. Ni mjanja sana.
41. James-Hamjali mpenzi wake kwa lolote
42. Ben-Mlevi na mpenda Sifa ila kitandani yuko vzr
43. George-Anapenda kuabudiwa hapendi kukosolewa
44. Deo-Kila mwanamke anamuahidi atamuoa
45. Joachim-Ana maneno mengi ila sio mtekelezaji
46. Samwel-Hawezi kukuruhusu kwenda kwake bila taarifa
47. Julius-Anapenda rafiki na ndugu zake kuliko mpenzi wake
48. Daniel-Anaonyesha upendo siku tu akipewa pesa au mapenzi au kitu chenye thamani
49. Gilbert-Ni mrahisi kuahidi kitu hata kama hana uwezo nacho
50. Nick-Hapendi kuzungumza vitu vya maendeleo, yeye ni fashion tu, hela yake inaishia kwenye kununua nguo
51. Timotheo: Mwadilifu mwenye kuthamini kila mtu hana makuu.. kielelezo chanya kitabia
KAMA JINA LAKO HALIPO JUA YA KUWA WEWE HAUPO KATIKA LIST HII ILA KAMA RAFIKI YAKO YUPO SHARE KWAKEView attachment 1236449View attachment 1236450View attachment 1236451
Kwenye upande wa kudanganyana wala usininyoshee kidole..kwenye watu waongo "You're the Mistress of Lies" Jiulize kimoyo moyo tu mangapi umenidanganya..nikagubdua kitambo tu ila sijawahi kusema kama umenidanganya.Wewe ulinidanganya kitu. Halafu ukiwa serious kabisa.
Good Lord..!!
Umekuwa mchungu.!
Wale shabiki zako wote hatujakuzoea hivyo, usifanye tukuogope please.!!
Nakazia kuwa Nabii kabisa kwa wale tusiofungamana na waganga wa kienyeji.Wakati mwingine mtu anaweza kuwa mganga wa kienyeji bila kujijua
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.Umemjuaje Mohammed nje ndani kwa kiwango hicho?? Utaniambia vizuri! Lasivyo nitakusemea!
Debora [emoji41]Lipi?