Dada, usiingie kwenye mahusiano na wanaume wenye majina haya

Dada, usiingie kwenye mahusiano na wanaume wenye majina haya

Mwanaume kudanganyana sio poa..pia mwanamke. Sikusemi.
Imagine unakua open afu mwenzio anakudanganya..mimi kukuongopea kidogo imeuma Yemie wakati wewe ndio ulifumfunza Johnny.
Basi nijibu swali hili "Uko wapi?
Ukiwa mkweli saaaaaaana huwapati aisee
 
[emoji23] [emoji23]
Nimeshawataja ninaowafahamu B, huyo Mohammed nilikuwa nakuzungumzia wewe, mie nilikutana na mmoja tu alikuwa c/mate na hatukuwa karibu so simfahamu vizuri..
Sasa huyo Mohamed bhana. [emoji23]hata wewe unamjua. Ni pasua kichwa, ila kwa kujitetea na maneno matamu hauwezi kumnunia hata.
Kwenye michepuko mingi... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitaki ugomvi ngoja nisiseme kitu.
 
Ishanikosti sana hii tabia.. Mbaya zaidi sijui kudanganya, I feel so Guilty when I lie
endelea ivoivo labda j2 utabahatika maana kanisani hakunaga uongo Kisulisuli kitakupeleka na utapata jiko bila DALILI😀😀😀😀
 
Mwanaume kudanganyana sio poa..pia mwanamke. Sikusemi.
Imagine unakua open afu mwenzio anakudanganya..mimi kukuongopea kidogo imeuma Yemie wakati wewe ndio ulifumfunza Johnny.
Basi nijibu swali hili "Uko wapi?
Nakujibu tena kwa herufi Kubwa hapa Hadharani NIPO ARUSHA, NAFANYA KAZI ARUSHA, NINAISHI ARUSHA. Huo mkoa unaolazimisha kwamba nipo huko Nilisoma shahada yangu ya kwanza huko.
 
Sasa huyo Mohamed bhana. [emoji23]hata wewe unamjua. Ni pasua kichwa, ila kwa kujitetea na maneno matamu hauwezi kumnunia hata.
Kwenye michepuko mingi... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitaki ugomvi ngoja nisiseme kitu.
Haha'.!! Hivi B, hapa unajua utanipa sababu 1,000 za kuunganisha matukio??
 
Back
Top Bottom