Dada, usiingie kwenye mahusiano na wanaume wenye majina haya

Kwenye upande wa kudanganyana wala usininyoshee kidole..kwenye watu waongo "You're the Mistress of Lies" Jiulize kimoyo moyo tu mangapi umenidanganya..nikagubdua kitambo tu ila sijawahi kusema kama umenidanganya.
Hahahaaa
Mpange mkuu, asijifanye kurukaruka😎😎
 
Nasubiri jibu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.
Namjua vizuri sana. Yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Na wewe Umemjuaje. [emoji91]
Unitag tafadhali[emoji23][emoji41]
 
Kwenye upande wa kudanganyana wala usininyoshee kidole..kwenye watu waongo "You're the Mistress of Lies" Jiulize kimoyo moyo tu mangapi umenidanganya..nikagubdua kitambo tu ila sijawahi kusema kama umenidanganya.
Hahahaaa
Shhhhhhh kwa hiyo unanisema??
Mwanamke kudanganya kawaida sana ila mwanaume sio kawaida kabisa. Halafu nilikudanganya nini?
 
1. John- Ni mpenda sifa na muongo, kamwe hawezi kukuruhusu ukashika simu yake
2. Brayton- Anapenda kulalamika muda wote, anaringa, anapenda kubembelezwa na anapenda kulelewa
3. Moses- Ni mkali sana na hapendi kuambiwa ukweli
4. Joseph- Mcha Mungu, anafanya maovu yake kwa siri sana
5. Steve- Mbahiri sana na anapenda kutembea na mijimama
6. Hussein- Anaweza kuwa na michepuko zaidi ya mitatu ndani ya nyumba moja na msijuane
7. Omari- Anapenda ubabe wa kijinga kila kitu lazima mshindi awe yeye
8. Robert- Ana roho mbaya na ana mkono mwepesi wa kupiga mwanamke
9. Thomas- Ana hasira za karibu
10. Frank- Kwa kifupi ni pasua kichwa, Mlevi na mkorofi hapendi marafiki wa kiume wa demu wake. Ila ni muongoji mzuri tu
11. Fred- Ana wivu kupindukia. Muda wote ana kazi ya kumchunguza mpenzi wake
12. Raymond- Ana upendo wa dhati tatizo lake gubu
13. Suleiman- Muda wote yupo busy lakini hana hela, na ana mademu lukuki
14. Richard- Ugomvi wake hauishi, anapenda kukumbushia makosa ya zamani na anapenda kumpigia simu mpenzi wake mara kwa mara, kwa siku anaweza kupiga siku hata mara kumi
15. Sudi- Ana upendo wa dhati ila tatizo lake akiachana na mwanamke lazima akatangaze madhaifu yake kwa watu
16. Emmanuel- Mpole ila ana tabia za ubinafsi akikosea hapendi kuomba msamaha
17. Gerald- Anapenda sifa za kijinga
18. Adolf- Hajui mwanamke mwenye sifa gani anamtaka
19. Abel- Kila kitu anakijua yeye, hapendi kuelekezwa
20. Obeid- Msiri sana, hapendi kumwambia mpenzi wake mambo yake ya kimaendeleo
21. Othuman- Mpole ila siku akikasirika mbingu itapasuka
22. Nelson- Ana mbwembwe sana ila hajui mapenzi
23. Paul- Anapenda kutoa ahadi zisizokamilika
24. Habibu- Maneno mengi
25. Ally- Ana tabia za kiswahili sana na anapenda kumlinganisha mpenzi wake wa sasa na wa zamani
26. Felix- Mtulivu lakini ana majivuno
27. Ramadhani- Mchafu mpaka chumbani kwake
28. Raphael- Ana kiburi cha asili, anapenda kubishana hata kwa kitu kidogo
29. Hassan- Mtaratibu, anaweza kuachana na mwanamke bila hata kumwambia
30. Adam- Ni mcheshi mbele za watu ila akiwa na mpenzi wake ana nuna bila sababu
31. Erick- Kila mkikutana anataka mfanye mapenzi, Mlevi na anapenda kutongoza shemeji zake
32. Wilson- Anapenda kusikilizwa yeye tu
33. Andrew- Mwaminifu sana ila akikuchoka utajuta kumfahamu
34. Hamis- Anapenda ugomvi wakati mwingine bila sababu
35. Derick- Ni zuzu na anapenda sifa sana akiona watu
36. Shedrack- Hawezi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi 3
37. Isaac- Hajivunii mwanamke aliyenae
38. Mudi- Ana maneno matamu ila nyuma ya pazia ana michepuko kibao
39. Ibrahim- Ana hasira za karibu ila akipewa penzi tu hasira zote zinakwisha anaanza kujichekesha chekesha
40. Juma- Haishiwi sababu na hakuna swali analokosa jibu. Ni mjanja sana
41. James- Hamjali mpenzi wake kwa lolote
42. Ben- Mlevi na mpenda sifa ila kitandani yuko vizuri
43. George- Anapenda kuabudiwa hapendi kukosolewa
44. Deo- Kila mwanamke anamuahidi atamuoa
45. Joachim- Ana maneno mengi ila sio mtekelezaji
46. Samwel- Hawezi kukuruhusu kwenda kwake bila taarifa
47. Julius- Anapenda rafiki na ndugu zake kuliko mpenzi wake
48. Daniel- Anaonyesha upendo siku tu akipewa pesa au mapenzi au kitu chenye thamani
49. Gilbert- Ni mrahisi kuahidi kitu hata kama hana uwezo nacho
50. Nick- Hapendi kuzungumza vitu vya maendeleo, yeye ni fashion tu, hela yake inaishia kwenye kununua nguo
51. Timotheo- Mwadilifu mwenye kuthamini kila mtu hana makuu. Kielelezo chanya kitabia

KAMA JINA LAKO HALIPO JUA YA KUWA WEWE HAUPO KATIKA LIST HII ILA KAMA RAFIKI YAKO YUPO SHARE KWAKE.

Wewe upo kwa jina lipi? Hivi Sheheh Yahaya bado yupo?
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.
Namjua vizuri sana. Yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Na wewe Umemjuaje. [emoji91]
😂 😂
Nimeshawataja ninaowafahamu B, huyo Mohammed nilikuwa nakuzungumzia wewe, mie nilikutana na mmoja tu alikuwa c/mate na hatukuwa karibu so simfahamu vizuri..
 
Shhhhhhh kwa hiyo unanisema??
Mwanamke kudanganya kawaida sana ila mwanaume sio kawaida kabisa. Halafu nilikudanganya nini?
Mwanaume kudanganyana sio poa..pia mwanamke. Sikusemi.
Imagine unakua open afu mwenzio anakudanganya..mimi kukuongopea kidogo imeuma Yemie wakati wewe ndio ulifumfunza Johnny.
Basi nijibu swali hili "Uko wapi?
 
Na kwa upepo wa kisulisuli hawa Ni Airbenders

Back
Top Bottom