AMEKWISHAHabari za weekend!
Hawajui tu mbaya zaid ukute anamtot mdogo uck hajalal kakesha kum'bembeleza halafu asubuh akufanyie yote hayo. Duh wanaume kuweni na huruma kwani kujiandalia maji asbh na kujiandalia chai asbh tena siku hzi maisha rahc jagi la umem lipo viungo vya chai vipo nikujiandalia tu chukua mkate kunywa hubadilik chochote jamanVitu kama maji saa nyingine jiwekee mweyewe tu usiwe mfalme wanawake wanachoka sana kazi za nyumbani nyingi mno
Wengine wanamaradh yao halafu haipendez kuwanyanyasa kingono hao mabeki Tatu wakipata mimba mnawatimua achen kuwa wabinafs na msiwatendee wengine ubayaUnakaa na beki tatu hujamla siku zote hivi we ni mzima ?
Mwache jamaa ale posho ya ndoa bana๐Yaan wanaume daah... mkeo kakuvumilia kwa mengi, kakuzalia watoto na kakufanyia mengiii zaidi ila leo unamuona hana maana kisa dada wa kazi aliyekutengea chakula kwa hizo siku ngapi sjui.
Wakati huyo dada hajaja hapo nani alikua anafanya yote hayo?
Sema tu umemchoka mkeo unataka kuchepuka
Mbona kupiga mizinga hamchoki๐Vitu kama maji saa nyingine jiwekee mweyewe tu usiwe mfalme wanawake wanachoka sana kazi za nyumbani nyingi mno
Eeh hio ni posho ya kuwa baba mwenye nyumba๐Kwel usemayo na huenda mkewe ndio huwa anamlalamikia matatz yake Dada wakaz.
Ajiandae tu akisha jua udhaifu mkubwa wa yeye bac atakuwa anamilik wake 2
We humtengei mumeo maji๐ auWacha uboss na uvivu
Eti posho๐๐๐๐Mwache jamaa ale posho ya ndoa bana๐
Akaaaa kuna heater bafuni plus nani aoge maji ya moto na joto hili.We humtengei mumeo maji[emoji28] au
Kumbe uko Dar bana๐Akaaaa kuna heater bafuni plus nani aoge maji ya moto na joto hili.
๐๐๐๐๐๐ we hupendi raha au! Maisha ya ndoa samtaim matamu sanaEti posho๐๐๐๐
Wanaume mnapenda raha sana
Raha nazipenda tena sanaaa๐๐๐๐๐๐ we hupendi raha au! Maisha ya ndoa samtaim matamu sana
Housegirl kwenye mimba ni kama mdomo na kijiko huwa havipishani kuanzia kijiko cha kwanza mpaka cha mwisho๐Kuna siku atakuwahi atakuletea na mimba ya mwanao umlee kabla hata hujamgusa...natoa angalizo tu housegel hakumbatiwi๐
HahahaaaKuna siku atakuwahi atakuletea na mimba ya mwanao umlee kabla hata hujamgusa...natoa angalizo tu housegel hakumbatiwi๐
Kwan dar peke yake ndio kuna joto [emoji16]Kumbe uko Dar bana[emoji28]
Gusa unate hao. Vizazi vyao vipo karibu sijui kwanini[emoji848]Housegirl kwenye mimba ni kama mdomo na kijiko huwa havipishani kuanzia kijiko cha kwanza mpaka cha mwisho[emoji28]
Mke wa ndoa mnaweza kumaliza makanisa na manabii ila beki tatu hata ukigusa bahat mbaya tu gari imewaka๐Gusa unate hao. Vizazi vyao vipo karibu sijui kwanini[emoji848]