Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 20, 2025 #181 The Loyalty King said: Wewe ina kuhusu nini sasa ?? Mpaka katika huo umri bado tu haujajua kuwa katika maisha kuna baadhi ya mambo ni binafsi Kwa mtu na watu wengine hampaswi kuyaingilia , Unaanzaje kuyaingilia mahusiano ya dada !? Click to expand...
The Loyalty King said: Wewe ina kuhusu nini sasa ?? Mpaka katika huo umri bado tu haujajua kuwa katika maisha kuna baadhi ya mambo ni binafsi Kwa mtu na watu wengine hampaswi kuyaingilia , Unaanzaje kuyaingilia mahusiano ya dada !? Click to expand...
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 20, 2025 #182 EMACHA said: Hii siyo mada ya kujadiliwa na mwanaume kama shemeji, acha dada yako ndiye aombe msaada kama atataka! Click to expand...
EMACHA said: Hii siyo mada ya kujadiliwa na mwanaume kama shemeji, acha dada yako ndiye aombe msaada kama atataka! Click to expand...
Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Jan 20, 2025 #183 nipo online said: Nalinda heshima katika familia mkuu Click to expand... Chawa wa familia au sio!
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 20, 2025 #184 Vishu Mtata said: Kijana unataka mahali ya dada kuanzishia biashara baada ya kazi ya kuchimba mashimo kukushinda?? Achana na maisha ya dada yako, Robert Heriel Mtibeli anakwambia mahali sio sahihi kwa mwanamke anaejielewa, huenda dada yako ni mtibeli. Click to expand...
Vishu Mtata said: Kijana unataka mahali ya dada kuanzishia biashara baada ya kazi ya kuchimba mashimo kukushinda?? Achana na maisha ya dada yako, Robert Heriel Mtibeli anakwambia mahali sio sahihi kwa mwanamke anaejielewa, huenda dada yako ni mtibeli. Click to expand...
RoDrick RaY JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,189 Reaction score 1,690 Jan 20, 2025 #185 kaa kwa kutulia wahusika wenyewe washaelewana ebu wachana nao Na iyo heshima unayoitafuta kkt Ukoo wenu kuna watu kibao wanaishi ivyo ivyo dada yako sio wa kwanza na hatokua wa mwisho
kaa kwa kutulia wahusika wenyewe washaelewana ebu wachana nao Na iyo heshima unayoitafuta kkt Ukoo wenu kuna watu kibao wanaishi ivyo ivyo dada yako sio wa kwanza na hatokua wa mwisho