Dada yangu anaishi na bwana huu mwaka wa 4 hawajafika nyumbani kutambulishana wala kulipa mahari

Kama huna unachitegemea Kwa huyo shemeji yako wa mchongo au sister wewe wapotezee kabisa no Salam na visit. Mtego wako ni Siku liwakute wahitaji Baraka za familia hapo ndio unapiga nyundo ya Mwana nikime Kwa shemeji na sister wako.

Agalizo lazima uwe huna njaa. Maana kwenye family kama dada ndio tegemewa hakuna atakaye kusikiliza.

Pia inawezekana kabisa sister wako ndio king'ang'anizi.
 
Comments kama hizi ndio zinatoa tafsiri halisi ya uwezo wa kufikiria wa member humu jukwaani.

Hakuna ujanja wala ushujaa wa kuishi na binti wa mtu pasipo kujitambulisha kwao hiyo ni laana
 
Hata likitokea tatizo gani, usikanyage hapo kwao.

Ikitokea dada yako ametangulia mbele za haki msikubali kuchukua maiti mpake alipe mahali.

Hiyo ndiyo desturi ya nyanda za juu kusini
Huo utamaduni upo na unatumika mahali pengi sana hapa Tz mkuu.
 
Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.

Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.

Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.

Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.

Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.
Bila shaka atakuwa Christian maana wakristo wanakaa hata miaka 10 na wajukuu juu ila ndoa mpaka wapate wajukuu ndio wanaita kubariki ndoa.
 
Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.

Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.

Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.

Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.

Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.
Nenda kampindue dada yako, uchukue nafasi yake kwa bwashee halafu mshawishi aje kwenu kujitambulisha kabla hajakuoa.
 
Sasa ulitaka akizaa Hao watoto halafu ikatokea incidence ya kuachana na Huyo mwanaume watoto awapeleke wapi !?

Kwa Hiyo wewe Utakataa kuwasaidia watoto wa dada yako Au Utakataa kuwatambua Hao watoto kisa Tu Dada yako alipewa mimba na kuachwa na mwanaume aliyempa mimba !? Hiyo kama sio roho mbaya ni nini

Dada yako akishakuwa mtu mzima haupaswi kumpangia namna ya kuishi maisha yake ni jukumu lake yeye pia ana hisia ana penda pia kama unavyoweza kupenda wewe , Muhimu Tu asiwe mahaba na kufikia hatua ya kujiuza lakini hata akifikia hatua Hiyo pia wewe hauna cha kumfanya hayo ni maisha yake
Mkuu kila Jsmii inatamaduni zake kwahiyo Tamaduni zenu zinatofautiana na Tamaduni Nyingine kama Mira zenu zina ruhusu Dada zako kuishi kinyumba na Mwanaume mpo sahii kabisa na Kwa Mira za jamii nyingine hio Mira haipo haikubaliki binti azae kiolela bila ndoa wala wazazi kumjua huyo mwanaume kisha wazazi walee wajukuu, Mkuu kila kwenye familia Baba ana mfumo wake wa kulea watoto kutokana na mira na tamaduni alizo lelewa nazo, Mfano wewe kama dada zako wana zalishwa wanaleta watoto Nyumbani kwenu na wewe umezoe hivyo basi na wewe watoto wako wakike watazalishwa watoto watakuletea Nyumbani.
 
Una puyanga tu, Mtu askisha kuwa mtu mzima tayari maisha yake yapo chini ya mamlaka yake Ana haki ya kuzaa kuanzisha familia and the likes

Mambo ya kukaa na kumfuatilia dada yako wakati ameshakuwa mtu mzima Acha akijisikia genye utamgonga wewe !?
 
Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.

Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.

Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.

Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.

Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.
Nendeni mkamtembelee dada huko anakoishi
Jambo la pili familia punguzeni unoko mnakimbiza wakwe na mashemeji
 
Mkuu kikao cha mwisho cha wanaume tarhe mwezi huu ,nahis hukuwepo tulisema heshima ya familia hujengwa na kibunda sasa kama utataka kujenga heshima kwa misingi ya kulinda tamaduni basi unapaswa kuhama unapoishi uhamie makumbusho ya taifa ni hayo tu .
Duh!...
 
Back
Top Bottom