Dada yangu anaishi na bwana huu mwaka wa 4 hawajafika nyumbani kutambulishana wala kulipa mahari

Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.

Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.

Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.

Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.

Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.
Ok sawa,sasa mwite dada yako uongee nae kiutu uzima unweleze kwa kituo,usimfokee wala kumtukana,mwambie umuhimu wa ndoa,hata kama hakuna sherehe mradi tu ndoa ifungwe
 
nimesoma comment zote nimeona wengi mmemchamba sana mleta mada tena wengi mmekuwa wakali labda hata nyinyi mtakuwa mnaishi na mabinti wa watu kiholela..kwa ishu ya mleta uzi yuko sahihi pia kitendo cha kuishi na binti wa watu bila ww mwanaume kujitambulisha rasmi au japo kufahamika upande wa mwanamke hivi hamjiulizi vp ikitokea siku huyo mwanamke akafariki gafla geto kwako au kwa stress zake akanywa sumu au kujinyonga ndani kwako vp ukiambiwa umemuua au siku akapatwa na matatizo makubwa ya kuhitaji ushiriki wa familia yake na ww kwao hupajui wala hawakufahamu vitu vingine tusichukulie kirahisi jamani hatuyajui yajayo.!
Watu wanachukulia poa sana ili jambo ila usiombe likukute,jamaa yetu mmoja ametoka hom vzr asubuhi kwenda kazin kamuacha wife nawatoto wazima kabisa yupo kazini mida yasanne taarifa inakuja mke kafariki chanzo chakifo nikumwagika damu kupita kiasi inasemekana alikuwa anachoropoa mimba mana mtoto wao wapili alikuwa bado mmdogo sana,ebhanaeeh wazee walikuja wanataka mali nafaini jumla milion 5 wazee wamesimika hawanautani hatakidogo,wazee wabusara wakaenda kuongea na wazee wenzao dau likashuka hadi milion 4 hapo wazee wakasema hawashuki tena nawanataka iyo pesa keshi,kufupisha nikwamba iyo pesa ilipatikana baada yahapo tukaanza kukaguana wenyewe kwawenyewe kwayoyote anaekaa namtoto wawatu kinyemera lazima akajitambulishe
 
Bwashemeji jitahidi Leo uje nyumbani nimekununulia cha-cha-cha 🤣🤣
 
Boya huyu Mwamba sasa wewe ulitaka azalishwe tu halafu mwamba amtelekeze?
 
Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.

Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.

Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.

Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.

Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.
Bado hujasema 😂🤣
 
Kawekwa unyumba na mume wa mtu, huhaju tu ddaako ni mchepuko high class.. inawezekna kajengewa hadi nyumba
 
Dadako anaishi na mwanaume mpumbavu Sana asiye na akili hata chembe.
Ila Kuna uwezekano dadako ni mjinga pia
 
Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.

Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.

Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.

Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.

Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.
na tiGo analiwa
 
Ili dongo ni langu kabisa na nimekujua ila tambua dada ako na mimi tumekubaliana guishi hivi pole sana kwa
Maumivu ya kutokula mahari ya dada ako.
 
Back
Top Bottom