Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Hilo jibu 👆👆liko vizuri. Watakuja muda utakapowadia.Waje tu maskani tuyajenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jibu 👆👆liko vizuri. Watakuja muda utakapowadia.Waje tu maskani tuyajenge
Mjomba anadhani kuunganisha koo mbili tofauti (kuoa) ni rahisi kivile.We binafsi una mke? Huamki tu ukaenda ukweni kujitambulisha lazima mipango mikubwa ifanyike. Unakuta mahitaji yanamhitaji jamaa awe na 10M ili kukamilisha Process.
Fikiria kwa kuwa wamekaa miaka yote hiyo huenda wana watoto tayari. Unafahamu taratibu zake za kujitambulisha?
1. Kama wazazi wa pande mbili wanaishi mikoa au wilaya tofafuti kuna ghalama za kuwasafirisha wazazi na baadhi ya ndugu, mahali pa kulala angalau usiku mmoja pamoja na ghalama za chakula wakati wa kwenda kutoa mahali
2. Kwa kuwa ameishi na dada yako bila ridhaa ya wazazi wako basi jua jamaa anafikiria kupigwa faini ya kati ya 1M-2M.
Baada ya hapo apangiwe au kutoa mahali ambayo kiwango kinategemea destruri na tamaduni upande wa mwanamke. Kabla za wafugaji zinatoza mahali kubwa.
3. Baada ya hapo anatakiwa kujibu swali la ndoa inafungwa lini kwa kuwa amejisalimisha. Na hapa haitakiwi kuvuka mwaka.
Hapo ukute mke na mume wamepiga hesabu wameona hiyo pesa waizungushe kwanza🤣🤣
Kama hataki kuja kujitambulisha nendeni nyie tu mkajitambulishe asiwaletee ujinga dada na jamaa yake😎Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.
Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.
Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.
Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.
Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.
Mkuu; Hukunielewa. Hebu rudia kusoma tena vizuri. Nimesema Dada yako ni haramu kwako i.e. Huruhusiwi kumuoa au niseme wazi zaidi kwamba huruhusiwi kuzaa naye au kulala naye. Au huko kwenu ikoje? Hata kisayansi haikubaliki hiyo kitu. Ni Inbreeding.Makubaliano gani haramu hayo?
Tafuta hela zako acha kuwaza hela za shemeji yako. Akimhonga dada yako inatosha ukitaka na wewe kuhongwa kakae kwa dada yako.Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.
Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.
Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.
Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.
Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.
Kama ni mwanaume litamkuta.Mjomba anadhani kuunganisha koo mbili tofauti (kuoa) ni rahisi kivile.
Atoto nirudishie ile picha yako ya mwanzo tafadhali..Nami nilitaka kumwambia hivi hivi!
Hata sisi wengine ni dada za watu eti. Huyo wa kwenu ana uspecial gani?sawa hatukatai mojawapo ya mambo tuliyokubaliana ni hilo la kutokwenda kujitambulisha nyumbani kwa wazazi wa mwanamke, ila sasaaasa hatutaki litokee kwa dada yetu.
Nilikua nakuonaga unaakili kumbe mtotoUnataka shemeji akakutie wewe badala ya dada yako? Wivu wa nini mwanaume kwa dada?
Haya mambo tunachukulia rahisi sana,, lakini nashauri kama unaishi na binti ya watu jaribu kujitambulisha kwa mashemeji wakujue pia kama kuna Sherehe ukweni hudhulia. Sio lazima upeleke mahali kitendo cha wao kujua tu unaishi na binti yao kinaleta maana hata tatizo likitokea wanakujua vizuri.nimesoma comment zote nimeona wengi mmemchamba sana mleta mada tena wengi mmekuwa wakali labda hata nyinyi mtakuwa mnaishi na mabinti wa watu kiholela..kwa ishu ya mleta uzi yuko sahihi pia kitendo cha kuishi na binti wa watu bila ww mwanaume kujitambulisha rasmi au japo kufahamika upande wa mwanamke hivi hamjiulizi vp ikitokea siku huyo mwanamke akafariki gafla geto kwako au kwa stress zake akanywa sumu au kujinyonga ndani kwako vp ukiambiwa umemuua au siku akapatwa na matatizo makubwa ya kuhitaji ushiriki wa familia yake na ww kwao hupajui wala hawakufahamu vitu vingine tusichukulie kirahisi jamani hatuyajui yajayo.!
Umeishiwa hela unapiga hesabu ya mahari kwa dada yako.Mahari siyo mtaji, na mahari siyo lazma. Fanya kazi ndugu acha dada yako na mume wako watafute maisha. Ipo siku na wewe yatakukuta.Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.
Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.
Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.
Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.
Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.
Ili umfanyaje? Unaweza kumpa anachopewa na bwana ake?Hapana angerudi nyumbani
Umechukua hatua gani kuiambia familia Yako?Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.
Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.
Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.
Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.
Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.
Tafuta mishe za kukuweka busy asee.Nalinda heshima katika familia mkuu
Unapoangalia jambo uliangalie katika nyanja ya nyakati,. Hata Lutu angekuwa sasa tungemwita mlevi na jehanamu ingemhusu lakini katika nyakati zake alikuwa mtu mwenye haki.Hapana mkuu kuna madhara hasi
Kwahiyo unaona WIVU wa niniMwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.