Dada yangu anaishi na bwana huu mwaka wa 4 hawajafika nyumbani kutambulishana wala kulipa mahari

Heshima ya familia yenu inahusiana vipi na anaeishi na dada yako ama kutojitambulisha kwenu??

Shukuru Mungu hata ana mtu wa kuishi nae kwa miaka 4 kuliko angekuwa anadanga.
Hapana angerudi nyumbani
 
Mambo mazuri hayataki haraka. Kwani dada anapokuja nyumbani anasemaje kumhusu shemeji yako? Je, huyo shemeji yako hana wazazi wake au ndugu zake? Iliwahi kutokea Shemeji akaozwa marehemu(Maiti) na mahali pengine binti akaangua kilio cha mbwa koko baada ya kukataliwa na wakwe licha ya kuwa aliishi unyumba fake na kuzalishwa na marehemu. Lolote laweza kutokea-chukua tahadhari.
Miaka minne ndo haraka?
 
Pole sana.

Kiufupi ni kwamba maisha ya mjini sio sawa na kijijini.

Dada yako kapata mtu wa kumhifadhi, shukuru tu.

Wengine kazi Yao kudanga Wala hawana mme anaejulikana.

Kikubwa mheshimu tu huyo Shemeji yako. Wewe na familia yako mutakula mema ya nchi siku akifanikiwa kimaisha.

Dada hawezi kuwa fala hata siku moja
Kwanini wasije kupata baraka?
 
Nalinda heshima katika familia mkuu
Yawezekana unajibishana na malaya waliojazana humu Jf, usiumize kichwa na comments zao maana upo sahihi.

Sitaki kukuuliza kabila lako, kwa sababu makabila mengi Tz karibia yanafanana tamaduni zinazohusu ndoa.

Katika maelezo yako sijajua kama wazazi wako bado hai ama lah, pia wazazi wako kama wanaishi kwenye ndoa ama hapana.

Hakuna fedheha mbaya kama mtoto wa kike ambaye ndiye icon ya familia kuwa na akili za kijinga kuweza kulaghaiwa na wahuni na kuwaamini jumla kama anapendwa, hilo ni tatizo kubwa ambalo yeye analichukulia poa!

Mila za kwetu sisi, hata ingelitokea akadanganywa ama kutoroshwa, kosa hilo husamehewa kutokana na udhaifu wa jinsi yake ilimradi taratibu zifuatazo zitafuatwa:

Wakifika walikoamua kwenda kuishi ama kujificha, mwanaume yule lazima arudishe taarifa za where abouts zao na kisha wazazi wa mume ama mshenga huja mara moja na kuanza process za ndoa.

Asipojitokeza, ama taarifa za walipo zikichelewa, kaka zake huanza upelelezi kuwasaka popote walipo.

wakishafahamu walipo hutoa taarifa kwa baba, kisha baba huwatuma kaka zake hao wakamlete kwa fimbo za piga garagaza pamoja na huyo hawara yake.

Wakishakumrejesha nyumbani huwekwa kitimoto na wazazi.

Kama itakuwa katoroshewa karibu, kaka zake hufuata faini ya kumtorosha kabla ya mahari kuanza kupangwa na mahari ikishalipwa baraka za kuendelea na taratibu za ndoa na harusi hufanywa.

Kwa issue yako hii, kaka mtu una haki ya kughadhabika kwa sababu umeaibishwa na kaya yenu kuonekano hopeless kabisa.

Huyo bwana kama angelikuwa anampenda dada yako kweli, alitakiwa kuwa tayari alishafika nyumbani kwenu siku nyingi, mapema tu walipoanza kuishi pamoja bila ya idhini ya wazazi huko Dar.

Kitendo cha kuishi na mwanamke bila kufahamu kwao pamoja na ndugu zake ni dharau kubwa sana, pia ni upumbaf.

Jamaa anafurahia matokeo ya ushindi wa ulaghai wake kwa dada yako na kujiona kidume, lakini dunia ya Mungu hii, kuna uzima na umauti yeye hilo hajui, kuna watu wanaozeshwaga maiti na mahari kutolewa kabla ya mazishi.

Kwa hiyo tatizo likimtokea dada yako, jamaa kwa vyovyote hawajibiki kwa lolote.

Sheria za ndoa za '71 zinazotumika sasa, dada yako hana haki yoyote kwa bwana yule hata wangeishi maisha yote.

Kwa hiyo wazazi kama wapo hasa baba, washirikishe kuchukua maoni yao pamoja na hatua.

Adhabu zipo nyingi tu za kumchukulia msichana maruhuni na kichwa ngumu kama huyo zitakazofanya ajute maisha yake yote.
 
Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.

Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.

Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.

Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.

Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.
K

We inakuhusu nini
 
Hata likitokea tatizo gani, usikanyage hapo kwao.

Ikitokea dada yako ametangulia mbele za haki msikubali kuchukua maiti mpake alipe mahali.

Hiyo ndiyo desturi ya nyanda za juu kusini
 
Bora wewe unaelewa
 
Miaka minne ndo haraka?
Yeah. Ww unaona ni miaka mingi? Mbona hata mtoto atakuwa hajaanza darasa la kwanza? Labda wanajipanga. Mtu ambaye angelikuwa na sononeko kwenye hili ni baba mzazi au mama mzazi kwa mujibu wa Taratibu, mila na desturi.
 
Hata likitokea tatizo gani, usikanyage hapo kwao.

Ikitokea dada yako ametangulia mbele za haki msikubali kuchukua maiti mpake alipe mahali.

Hiyo ndiyo desturi ya nyanda za juu kusini
Yep. Hapo ndo shem wako huyo atajua ni kwa nini vigezo na masharti vinapaswa kuzingatiwa.
Hakunaga mtu anayeokotwa njiani.
 
duu mbona kama mmemshambulia sana ila apo jamaa uko sahihi unamtakia dada ako uhakika alipo apo cha msingi ongea na shemeji yako ilo dukuduku.
 
Yawezekana unajibishana na malaya waliojazana humu Jf, usiumize kichwa na comments zao maana upo sahihi.

Sitaki kukuuliza kabila lako, kwa sababu makabila mengi Tz karibia yanafanana tamaduni zinazohusu ndoa.

Katika maelezo yako sijajua kama wazazi wako bado hai ama lah, pia wazazi wako kama wanaishi kwenye ndoa ama hapana.

Hakuna fedheha mbaya kama mtoto wa kike ambaye ndiye icon ya familia kawa na akili za kijinga kuweza kulaghaiwa na wahuni na kuwaamini jumla kama anapendwa, hilo ni tatizo kubwa ambalo yeye analichukulia poa!

Mila za kwetu sisi, hata ingelitokea akadanganywa ama kutoroshwa, kosa hilo husamehewa kutokana na udhaifu wa jinsi yake ilimradi taratibu zifuatazo zitafuatwa:

Wakifika walikoamua kwenda kuishi ama kujificha, mwanaume yule lazima arudishe taarifa za where abouts zao na kisha wazazi wa mume ama mshenga huja mara moja na kuanza process za ndoa.

Asipojitokeza, ama taarifa za walipo zikichelewa, kaka zake huanza upelelezi kuwasaka popote walipo.

wakishafahamu walipo hutoa taarifa kwa baba, kisha huwatuma kaka zake hao wakamlete kwa fimbo za piga garagaza pamoja na huyo hawara yake.

Wakishakumrejesha nyumbani huwekwa kitimoto na wazazi.

Kama itakuwa katoroshewa karibu, kaka zake hufuata faini ya kumtorosha kabla ya mahari kuanza kupangwa na mahari ikishalipwa baraka za kuendelea na taratibu za ndoa na harusi hufanywa.

Kwa issue yako hii, kaka mtu una haki ya kughadhabika kwa sababu uneaibishwa na kaya yenu kuonekano hopeless kabisa.

Huyo bwana kama angelikuwa anampenda dada yako kweli, alitakiwa kuwa tayari alishafika nyumbani kwenu mapema baada tu ya kuanza kuishi pamoja huko Dar bila ya idhini ya wazazi.

Kitendo cha kuishi na mwanamke bila kufahamu kwao pamoja na ndugu zake ni dharau kubwa sana, pia ni upumbaf.

Jamaa anafurahia ulaghai wake kwa dada yako na kujiona kidume, lakini dunia ya Mungu hii, kuna uzima na umauti yeye hilo hajui, kuna watu wanaozeshwaga maiti na mahari kutolewa kabla ya mazishi.

Kwa hiyo lolote likimtokea dada yako, jamaa kwa vyovyote hawajibiki na dada yako kwa lolote.

Sheria za ndoa za '71 zinazotumika sasa, dada yako hana haki yoyote kwa bwana yule hata wangeishi maisha yote.

Kwa hiyo wazazi kama wapo hasa baba, washirikishe kuchukua maoni yao pamoja na hatua.

Adhabu zipo nyingi tu za kumchukulia msichana maruhuni na kichwa ngumu kama huyo zitakazofanya ajute maisha yake yote.
Nimekuelewa mkuu haya ni madharau wameleta hapa.
 
Back
Top Bottom