Dada yangu anaishi na bwana huu mwaka wa 4 hawajafika nyumbani kutambulishana wala kulipa mahari

Dada yangu anaishi na bwana huu mwaka wa 4 hawajafika nyumbani kutambulishana wala kulipa mahari

Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.

Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.

Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.

Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.

Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.
Pole sana.

Kiufupi ni kwamba maisha ya mjini sio sawa na kijijini.

Dada yako kapata mtu wa kumhifadhi, shukuru tu.

Wengine kazi Yao kudanga Wala hawana mme anaejulikana.

Kikubwa mheshimu tu huyo Shemeji yako. Wewe na familia yako mutakula mema ya nchi siku akifanikiwa kimaisha.

Dada hawezi kuwa fala hata siku moja
 
Kwani kwenye vikao vyenu si mlikubaliana msilipe mahari? Mahari for what?
Mwache mwamba ajipatie mke bure bure
sawa hatukatai mojawapo ya mambo tuliyokubaliana ni hilo la kutokwenda kujitambulisha nyumbani kwa wazazi wa mwanamke, ila sasaaasa hatutaki litokee kwa dada yetu.
 
Wewe ina kuhusu nini sasa ??

Mpaka katika huo umri bado tu haujajua kuwa katika maisha kuna baadhi ya mambo ni binafsi Kwa mtu na watu wengine hampaswi kuyaingilia ,

Unaanzaje kuyaingilia mahusiano ya dada !?
Mkuu huyo Dada akizalishwa na kutelekezwa unazani watoto wake si atawapeleka kwao na siyo kwao huyo mwanaume, Wanawake wengi vichwa maji wanazalishwa na wanaume wajinga kisha watoto wanawapelekea Mama zao Nyumbani wawalee na utakuta Mama zao no wazee wanaitaji kuhudumiwa, Utakuta kijana unatuma pesa kwa wazazi wako ukijua unawatumia Wazazi wawili Baba na Mama kwa matumizi ya mwezi mzima chakushangaza pesa inaisha baada ya wiki mbili ukija kufatilia kumbe kuna mtoto nyenye Baba hasiyejulikana ndiyo inatumia pesa. Mimi niliwaamniaga Nyumbani mimi nawatumia pesa kwamatumizi yenu Baba na Mama tu kama kuna mtoto huyo hapo sojui ni mjomba mwambieni arudi kwao hapo siyo kwao na akitaka kukaa hapo kila mwezi wazazi wake watume pesa.Nahisi baada ya taarifa kuwafikia Wazaazi wake wakamtafutia shule ya Bording, Mimi sitaki kulea wajomba wasiojulijaka kisheria na Wazazi wapo Hai wana ponda raha tu kisha mimi nitumie pesa zangu kulea.
 
nimesoma comment zote nimeona wengi mmemchamba sana mleta mada tena wengi mmekuwa wakali labda hata nyinyi mtakuwa mnaishi na mabinti wa watu kiholela..kwa ishu ya mleta uzi yuko sahihi pia kitendo cha kuishi na binti wa watu bila ww mwanaume kujitambulisha rasmi au japo kufahamika upande wa mwanamke hivi hamjiulizi vp ikitokea siku huyo mwanamke akafariki gafla geto kwako au kwa stress zake akanywa sumu au kujinyonga ndani kwako vp ukiambiwa umemuua au siku akapatwa na matatizo makubwa ya kuhitaji ushiriki wa familia yake na ww kwao hupajui wala hawakufahamu vitu vingine tusichukulie kirahisi jamani hatuyajui yajayo.!
 
Pole sana.

Kiufupi ni kwamba maisha ya mjini sio sawa na kijijini.

Dada yako kapata mtu wa kumhifadhi, shukuru tu.

Wengine kazi Yao kudanga Wala hawana mme anaejulikana.

Kikubwa mheshimu tu huyo Shemeji yako. Wewe na familia yako mutakula mema ya nchi siku akifanikiwa kimaisha.

Dada hawezi kuwa fala hata siku moja
Wanawake wengi wakija mjini hawataki kurudi Nyumbani mtoto wakike ukirudi Nyumbani mzazi akasiliki, Tatizo la Mabint wa kizazi hiki wana fosi kutafuta maisha na wao wawe matajiri.
 
Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.

Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.

Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.

Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.

Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi
Yote Maisha bro!
Halafu Kuna njemba alimpa talaka mkewe; Ila kaka yake yule dada (shemeji) aliendelea kuishi Kwa yule njemba😇🥵
 
1: Hela unazopata/kutumiwa na dada yako nyingi zimetoka Kwa huyo usiempenda.
2: Dada yako asingepokewa na msela sasa hivi angekua kwenye madamguro.
3:wazazi wako hela wanazotumiwa zimetoka Kwa msela
4: Mshukuru sana huyo brother kwani maisha ya dada yako yangekua ya hovyo.
Arudi Nyumbani huyo ni mtoto wakike kama huyo jamaa atamuhitaji atamfata nyumbani, Na maisha kama hayo yanakua haya Baraka kutoka kwa wazazi kila siku ufakuta ugomvi tu. Mahusiano mazuri lazima vijana tukajitambulishe kwa wazazi ili tushi kwa Amani na kisheria tukilipa mahari ata nusu siyo vibaya.
 
Mkuu huyo Dada akizalishwa na kutelekezwa unazani watoto wake si atawapeleka kwao na siyo kwao huyo mwanaume, Wanawake wengi vichwa maji wanazalishwa na wanaume wajinga kisha watoto wanawapelekea Mama zao Nyumbani wawalee na utakuta Mama zao no wazee wanaitaji kuhudumiwa, Utakuta kijana unatuma pesa kwa wazazi wako ukijua unawatumia Wazazi wawili Baba na Mama kwa matumizi ya mwezi mzima chakushangaza pesa inaisha baada ya wiki mbili ukija kufatilia kumbe kuna mtoto nyenye Baba hasiyejulikana ndiyo inatumia pesa. Mimi niliwaamniaga Nyumbani mimi nawatumia pesa kwamatumizi yenu Baba na Mama tu kama kuna mtoto huyo hapo sojui ni mjomba mwambieni arudi kwao hapo siyo kwao na akitaka kukaa hapo kila mwezi wazazi wake watume pesa.Nahisi baada ya taarifa kuwafikia Wazaazi wake wakamtafutia shule ya Bording, Mimi sitaki kulea wajomba wasiojulijaka kisheria na Wazazi wapo Hai wana ponda raha tu kisha mimi nitumie pesa zangu kulea.
Sasa ulitaka akizaa Hao watoto halafu ikatokea incidence ya kuachana na Huyo mwanaume watoto awapeleke wapi !?

Kwa Hiyo wewe Utakataa kuwasaidia watoto wa dada yako Au Utakataa kuwatambua Hao watoto kisa Tu Dada yako alipewa mimba na kuachwa na mwanaume aliyempa mimba !? Hiyo kama sio roho mbaya ni nini

Dada yako akishakuwa mtu mzima haupaswi kumpangia namna ya kuishi maisha yake ni jukumu lake yeye pia ana hisia ana penda pia kama unavyoweza kupenda wewe , Muhimu Tu asiwe mahaba na kufikia hatua ya kujiuza lakini hata akifikia hatua Hiyo pia wewe hauna cha kumfanya hayo ni maisha yake
 
Je mkienda kuwasalimia anakuwepo na kutoa ushirikiano?
Kuna mjinga mmoja ndugu wa mhuni mwemzake wakenda kuwasalimu, jamaa anapotea mpaka waondoke
Sijawai enda na siend hata iweje adi waje nyumbani kulipa mahar
 
H
1: Hela unazopata/kutumiwa na dada yako nyingi zimetoka Kwa huyo usiempenda.
2: Dada yako asingepokewa na msela sasa hivi angekua kwenye madamguro.
3:wazazi wako hela wanazotumiwa zimetoka Kwa msela
4: Mshukuru sana huyo brother kwani maisha ya dada yako yangekua ya hovyo.
Hakuna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom