Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Mambo mazuri hayataki haraka. Kwani dada anapokuja nyumbani anasemaje kumhusu shemeji yako? Je, huyo shemeji yako hana wazazi wake au ndugu zake? Iliwahi kutokea Shemeji akaozwa marehemu(Maiti) na mahali pengine binti akaangua kilio cha mbwa koko baada ya kukataliwa na wakwe licha ya kuwa aliishi unyumba fake na kuzalishwa na marehemu. Lolote laweza kutokea-chukua tahadhari.Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika.
Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda.
Sijapenda kwakweli na hii ni kama kujishushia hadhi yeye na familia yetu. Kitendo hiki kinanipa hasira hata kuwasiliana na sister ni mara chache sana kwa mwaka.
Wanawake sijui akili zao zikoje. Ukitaka matusi jaribu kumuambia izo habari. Ni kweli wanaishi pamoja kama mke na mume ila stail yao Sijapenda naomba ushauri.
Hua sina amani hata kufikia kwao kuna watu ndugu wakienda wanafkia ila mimi hapana siwezi.