Dada yangu anaishi na bwana huu mwaka wa 4 hawajafika nyumbani kutambulishana wala kulipa mahari

1: Hela unazopata/kutumiwa na dada yako nyingi zimetoka Kwa huyo usiempenda.
2: Dada yako asingepokewa na msela sasa hivi angekua kwenye madamguro.
3:wazazi wako hela wanazotumiwa zimetoka Kwa msela
4: Mshukuru sana huyo brother kwani maisha ya dada yako yangekua ya hovyo.
 
Mkuu kikao cha mwisho cha wanaume tarhe mwezi huu ,nahis hukuwepo tulisema heshima ya familia hujengwa na kibunda sasa kama utataka kujenga heshima kwa misingi ya kulinda tamaduni basi unapaswa kuhama unapoishi uhamie makumbusho ya taifa ni hayo tu .
 
Acha wivu
 
Moderators siku hizi jf inajiendea tu.
 
Unaona anafaidi nenda wewe ukapigwe miti
 
Muache na maisha yake. Siku yakimshinda mtamuona hapo nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…