Dada yangu anaishi na bwana huu mwaka wa 4 hawajafika nyumbani kutambulishana wala kulipa mahari

Kama huna unachitegemea Kwa huyo shemeji yako wa mchongo au sister wewe wapotezee kabisa no Salam na visit. Mtego wako ni Siku liwakute wahitaji Baraka za familia hapo ndio unapiga nyundo ya Mwana nikime Kwa shemeji na sister wako.

Agalizo lazima uwe huna njaa. Maana kwenye family kama dada ndio tegemewa hakuna atakaye kusikiliza.

Pia inawezekana kabisa sister wako ndio king'ang'anizi.
 
Comments kama hizi ndio zinatoa tafsiri halisi ya uwezo wa kufikiria wa member humu jukwaani.

Hakuna ujanja wala ushujaa wa kuishi na binti wa mtu pasipo kujitambulisha kwao hiyo ni laana
 
Hata likitokea tatizo gani, usikanyage hapo kwao.

Ikitokea dada yako ametangulia mbele za haki msikubali kuchukua maiti mpake alipe mahali.

Hiyo ndiyo desturi ya nyanda za juu kusini
Huo utamaduni upo na unatumika mahali pengi sana hapa Tz mkuu.
 
Bila shaka atakuwa Christian maana wakristo wanakaa hata miaka 10 na wajukuu juu ila ndoa mpaka wapate wajukuu ndio wanaita kubariki ndoa.
 
Nenda kampindue dada yako, uchukue nafasi yake kwa bwashee halafu mshawishi aje kwenu kujitambulisha kabla hajakuoa.
 
Mkuu kila Jsmii inatamaduni zake kwahiyo Tamaduni zenu zinatofautiana na Tamaduni Nyingine kama Mira zenu zina ruhusu Dada zako kuishi kinyumba na Mwanaume mpo sahii kabisa na Kwa Mira za jamii nyingine hio Mira haipo haikubaliki binti azae kiolela bila ndoa wala wazazi kumjua huyo mwanaume kisha wazazi walee wajukuu, Mkuu kila kwenye familia Baba ana mfumo wake wa kulea watoto kutokana na mira na tamaduni alizo lelewa nazo, Mfano wewe kama dada zako wana zalishwa wanaleta watoto Nyumbani kwenu na wewe umezoe hivyo basi na wewe watoto wako wakike watazalishwa watoto watakuletea Nyumbani.
 
Una puyanga tu, Mtu askisha kuwa mtu mzima tayari maisha yake yapo chini ya mamlaka yake Ana haki ya kuzaa kuanzisha familia and the likes

Mambo ya kukaa na kumfuatilia dada yako wakati ameshakuwa mtu mzima Acha akijisikia genye utamgonga wewe !?
 
Nendeni mkamtembelee dada huko anakoishi
Jambo la pili familia punguzeni unoko mnakimbiza wakwe na mashemeji
 
Mkuu kikao cha mwisho cha wanaume tarhe mwezi huu ,nahis hukuwepo tulisema heshima ya familia hujengwa na kibunda sasa kama utataka kujenga heshima kwa misingi ya kulinda tamaduni basi unapaswa kuhama unapoishi uhamie makumbusho ya taifa ni hayo tu .
Duh!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…