Dada yangu anapitia mateso makali sana sababu ya kijana wake kushika Dini hadi imemfanya amekuwa mjinga

Kwani hapo kosaa lipi? Kikubwa asidhuru wengine Kama ni kazi jobless mmoja ni huweni kwake atakuwa substituted chap....the rest waache watu na maisha yao na jilazimishe kuwawazia wenzio mazurii
 
Hawa jamaa wanajiitaga "Jidi boys" advance ndio niliona kumbe waislamu ni washenzi wao kazi kujitenga kuanzia kusoma mpka michezo na ikitokea kuna muislamu anaandama na mkristo hafu darasani ni kipanga atapigwa vita mpka basi kwmba asome na waislamu wenzie pekee

Kipindi cha mock form six kulikuwa na possible Hahaha huwezi amini hawa watu walikuwa wanaamshana wenywe kwa wenywe usiku nilikuwa deka la Chini jamaa yangu kipanga akaamshwa deka la juu akawasovie maswali kimya kimya.

Shule za A-level zinaharibu sana vijana.....Pugu sec maji shida so jidi kule wana maji ukienda kunya choo cha jidi hafu mkristo utaisoma namba watakuandama mpaka ukome......
 
Hata kama huhitaji mshahara wake basi afanye kazi basi ajitegemee na kufuata masharti ya kazi ya watu...kwani mtu ukivaa official ukaenda ukafanya kazi za watu ukitoka hutavaa mavazi yako ukaabudu?
 
Mwambie dada yako apambane na maisha yake. Ameshatimiza wajibu wake. Kwa sasa huyo mtoto wake ni mtu mzima. Hivyo asimpangie maisha.

Kama ameamua kuacha kazi na kuwa ustaadh wa kumhubiri Allah na Mtume wake Muhammad (SAW), shida iko wapi?
 
Pia haimaanishi kuwa mzazi anapaswa kumsomesha mwanae ili badae aje kumsaidia,sioni haja ya dada kupata presha maana kama ndo maisha aliyochagua bass haina shida. Kumbuka hivi sasa kila mtu anaishi vile anavyohitaji yeye, mama mtu akikubali hizo inshu zake za dini nafikiri uhusiano wao utakuwa mzuri tu.
 
Kuna jamaa mmoja namjua nae hivi hivi kawa ustaadh kupitiliza hata mufti haingii ndani.

Mama yake anadai baba yake mzazi(Babu yake jamaa) alikuwa imamu wa msikiti lakini dini haikuwahi kumchanganya kama alivyo mwanae.

Jamaa ndio first born na ndio pekee kasoma hadi chuo lakini dini imemchanganya sana.

Yaani imekuwa too much

Yaani mchizi hadi tunamuogopa tykimwona tunabadili njia[emoji1787]
 
Wakuu hamjuagi tu vile wazazi wanaumia kama hawajui mtoto anafanya nini haijalishi ana umri gani, huwa wanaumia sana.

Wazazi wengi husomesha watoto waje wawasaidie mbele lakini kama hilo mtoto haliwezi(sio lazima) basi walau awe na mwelekeo wa maisha.

Mzazi anakuwa na amani sana kama akiona mwanae analepea kama kishada kimaendeleo, hata kama atapambana kulipa madeni basi atalipa akijua yes walau jembe langu limetusua.
 
Hapo tatizo ni dadako
Imeandikwa usimtegemee mwanadamu
 
Ukweli mchungu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…