Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 731
- 2,707
Samia hawezi kuwa na dada wa hovyo km wewe. Hao mambwa ndiyo waliopanga, kuhamasisha, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji ya watanzania, wizi, uharibifu wa mali.Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane
Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki
Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati
Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!
Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi
Wasalaam!
Huyu alisemaga yeye ni chura KixiwiHuenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane
Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki
Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati
Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!
Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi
Wasalaam!
Member mpya umeingia na matusi na miharo kibao 💩Samia hawezi kuwa na dada wa hovyo km wewe. Hao mambwa ndiyo waliopanga, kuhamasisha, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji ya watanzania, wizi, uharibifu wa mali.
Samia hawezi kukaa siti moja na hao wauaji. Anasubiri ripoti ya tume ya uchunguzi hao mambwa ni kuwakamata wote wajibu mashitaka yote hayo!
Dada yako anapambana asitoke madarakani wewe unaongelea habari ya kutawala kwa tabu.Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane
Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki
Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati
Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!
Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi
Wasalaam!
ukubwa wao ni nini? kuteka, kutesa na KUUA waTanganyika?Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane
Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki
Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati
Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!
Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi
Wasalaam!
Atakuwa Kawaida huyu, ndio namuona leo humu kaja na upumbavu wake.Member mpya umeingia na matusi na miharo kibao 💩
Na hata huyu Samuya ashirikiane na vyama mamluki 1000 na kuteka wasiompenda haitamsaidia kwenye urais wake. Ashirikiqne nao tu na awasikilize madai yaona bila chadema kuheshimu sheria za nchi na ikiendelea kuleta fujo kwa kisingizio cha haki, mazingira ya kufanya siasa yatakuwa magumu sana.
Alishanuka sana acha apuyange hadi afe vilevile hatakiwi kabisa sio mtu wa kumsogelea kuongea nae tena acha apelekewe moto asipate amani milele ova ovaHuenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane
Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki
Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati
Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!
Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi
Wasalaam!
Kwanini unajitafutia kutekwa?Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane
Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki
Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati
Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!
Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi
Wasalaam!
Mkata viuno umeikimbia I'd yako ya tilatilah utapata taabu sanaaaSamia hawezi kuwa na dada wa hovyo km wewe. Hao mambwa ndiyo waliopanga, kuhamasisha, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji ya watanzania, wizi, uharibifu wa mali.
Samia hawezi kukaa siti moja na hao wauaji. Anasubiri ripoti ya tume ya uchunguzi hao mambwa ni kuwakamata wote wajibu mashitaka yote hayo!
Nani kakwambia Samia anapata taabu?Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane
Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki
Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati
Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!
Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi
Wasalaam!
Chadema ndio wanateka, kuua watu na kukandamiza haki za raia?.Samia hawezi kuwa na dada wa hovyo km wewe. Hao mambwa ndiyo waliopanga, kuhamasisha, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji ya watanzania, wizi, uharibifu wa mali.