Dada yangu mzuri ila jeuri, ana uwezo, umri umeenda nataka nimuunganishie mwanaume wa kumdhibiti

Ha ha haaa hebu liamshe vizuri hilo dude...

Kujifanya kubadili jinsia ili iweje?

Hivi nani anaefundishwa tabia mbaya kule? Ni wewe uliejifanya kumzimikia mume wamtu na kuapa kufanya kila uwezalo kumpata? Au ni wale waliokushauri uachane na mtazamo wako huo na kuacha kuingilia ndoa ya watu?

Na ilihali mume wamtu huyo ni wewe mwenyewe,unajitekenya na kucheka mwenyewe...

Achaga hizo bana,mwanaume kamili hana mambo ya dizain hiyo wewe

Kama uliweza kutuchezea akili kule hapa unashindwaje? Em niweke nukta hapa mimi,wala sitaendelea kukujibu,we amsha hilo dude kadri uwezavyo
 
Ha ha ha ha uuuupsi mara pwaaaaa

Chizi Maarifa Hujambo za masiku

Ivi Unakumbuka ile story yako ya kumtaka mune wa mtu. ulifanikiwa Shogaa angu cos Ulisema kwa vyovyote lazima umpate.
 
mimi demu wangu yuo kwenye group mpaka leo .. ndo ananipa mikasa na visa mbalimbali vya huko kwenu. na wewe si una watoto watatu mmoja umembambikia mumeo????????? ha ha ha... we valentina wewe unaweka picha ya mtu akam decent ila ... acheni kuwafundisha wenzenu tabia mbaya. mmefika wangapi katika kuwa recruit ?

mimi kwenye group mmle nlifanikiwa kuwala watu wanne tu walikuwa desperate sana. basi nikajilia na mmoja wapo wa kudumu ni wewe sema hujajua tu kuwa ni mimi gudume gwenu... mimi napohitaj .. hata ukivalisha sketi navaa...wala sina shida ili mradi nipate tu demu ninayemtaka ......

hata sijui unazungumzia nina ichana. nipe hiyo thread nliyosema hivyo. mke wa mtu naweza kula ila wanaume situmii. nawe si unanifaham vizuri kuwa lile jambo lingine kwako nilikuwa nalitumia kwa sababu wewe ni mwanamke ila kwa wanaume mama hapana.

Ha ha ha ha uuuupsi mara pwaaaaa

Chizi Maarifa Hujambo za masiku

Ivi Unakumbuka ile story yako ya kumtaka mune wa mtu. ulifanikiwa Shogaa angu cos Ulisema kwa vyovyote lazima umpate.
 
Aisee ukamla valle????????

Kumbe Ameolewa na ana watoto watatu na mmoja kambambika mumewe koh koh koh kwa huu Ubuyu ni wa international
 
Nimecheka sana story yako ilikua na deny mmoja hivi chuo raia wa Ghana dem alikua na umbo zuri sana mapenzi yake yalinishinda yeye anapenda kukabana anapenda umpige nikaona hio kazi siiwezi
 
hata sijui unazungumzia nina ichana. nipe hiyo thread nliyosema hivyo. mke wa mtu naweza kula ila wanaume situmii. nawe si unanifaham vizuri kuwa lile jambo lingine kwako nilikuwa nalitumia kwa sababu wewe ni mwanamke ila kwa wanaume mama hapana.
Jaman dada joy Umesahau mara hii.... Kumbukumbu zimeenda wapi??? tafakar Pls Mwaka Jana wapi ulikuwa unajiita joy plus kumpenda mume WA mtu kumbe wote uongo wewe ni dume
 
hapana sikumbuki kwa kweli. maana hata hayo magroup mimi si mpenzi kabisa labda groups za michezo huko utanikuta sana. ila makundi yenu ya umbeya na uchangudoa dada hapana umenifananisha. nipatie tu ushahidi mama kama ni mimi nitakiri kabisa hapa.

Jaman dada joy Umesahau mara hii.... Kumbukumbu zimeenda wapi??? tafakar Pls Mwaka Jana wapi ulikuwa unajiita joy plus kumpenda mume WA mtu kumbe wote uongo wewe ni dume
 
Aisee ukamla valle????????

Kumbe Ameolewa na ana watoto watatu na mmoja kambambika mumewe koh koh koh kwa huu Ubuyu ni wa international
[emoji23] [emoji23] hii yaleo kali sana
 
Kweli dunia inawenye nayo kwani mleta story ulikuwa wewe
 
Ashakua chuma chakavu huyo
 
Nipe namba ya huyo dada yako nikambandue mpaka akili zimkae sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…