Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaa hebu liamshe vizuri hilo dude...dada kwa heshima kabisa.. kama unataka kunitaja jina langu itafutie sababu nzuri. kwa wanaonifaham wanafaham mimi ni nani. ulishaacha ku recruit watu wa kuwapeleka GRoup lako la Passion? wanawake mkawafundishe tabia mbaya? hala hala mama.... mimi ungeniacha hivi hivi nlivyo naipenda ID yangu hii moja kama nlivyo na nanii moja. chonde chonde nakuomba nisije nikayasema mengi. usiliamshe dude.
Ha ha haaa hebu liamshe vizuri hilo dude...
Kujifanya kubadili jinsia ili iweje?
Hivi nani anaefundishwa tabia mbaya kule? Ni wewe uliejifanya kumzimikia mume wamtu na kuapa kufanya kila uwezalo kumpata? Au ni wale waliokushauri uachane na mtazamo wako huo na kuacha kuingilia ndoa ya watu?
Na ilihali mume wamtu huyo ni wewe mwenyewe,unajitekenya na kucheka mwenyewe...
Achaga hizo bana,mwanaume kamili hana mambo ya dizain hiyo wewe
Kama uliweza kutuchezea akili kule hapa unashindwaje? Em niweke nukta hapa mimi,wala sitaendelea kukujibu,we amsha hilo dude kadri uwezavyo
Ha ha ha ha uuuupsi mara pwaaaaa
Chizi Maarifa Hujambo za masiku
Ivi Unakumbuka ile story yako ya kumtaka mune wa mtu. ulifanikiwa Shogaa angu cos Ulisema kwa vyovyote lazima umpate.
Aisee ukamla valle????????mimi demu wangu yuo kwenye group mpaka leo .. ndo ananipa mikasa na visa mbalimbali vya huko kwenu. na wewe si una watoto watatu mmoja umembambikia mumeo????????? ha ha ha... we valentina wewe unaweka picha ya mtu akam decent ila ... acheni kuwafundisha wenzenu tabia mbaya. mmefika wangapi katika kuwa recruit ?
mimi kwenye group mmle nlifanikiwa kuwala watu wanne tu walikuwa desperate sana. basi nikajilia na mmoja wapo wa kudumu ni wewe sema hujajua tu kuwa ni mimi gudume gwenu... mimi napohitaj .. hata ukivalisha sketi navaa...wala sina shida ili mradi nipate tu demu ninayemtaka ......
Jaman dada joy Umesahau mara hii.... Kumbukumbu zimeenda wapi??? tafakar Pls Mwaka Jana wapi ulikuwa unajiita joy plus kumpenda mume WA mtu kumbe wote uongo wewe ni dumehata sijui unazungumzia nina ichana. nipe hiyo thread nliyosema hivyo. mke wa mtu naweza kula ila wanaume situmii. nawe si unanifaham vizuri kuwa lile jambo lingine kwako nilikuwa nalitumia kwa sababu wewe ni mwanamke ila kwa wanaume mama hapana.
Jaman dada joy Umesahau mara hii.... Kumbukumbu zimeenda wapi??? tafakar Pls Mwaka Jana wapi ulikuwa unajiita joy plus kumpenda mume WA mtu kumbe wote uongo wewe ni dume
[emoji23] [emoji23] hii yaleo kali sanaAisee ukamla valle????????
Kumbe Ameolewa na ana watoto watatu na mmoja kambambika mumewe koh koh koh kwa huu Ubuyu ni wa international
Kweli dunia inawenye nayo kwani mleta story ulikuwa wewenme ku expose? ulianza wewe kunikosea heshima. nami mtu anaponikosea heshima huwa namchunguza kwa dakika chache kujua udhaifu wake then nauweka hadharani. so ulianza kunikosea kunisingizia mambo ya kipuuzi ikabidi nikujibu kwa kadiri ya ninavyokufaham.
Ashakua chuma chakavu huyoKuna sister tupo naye ktk family inashangaza sana. Ni mzuri ana kazi na anaishi kwake. Si malaya ila nmemsoma anahitaj mwanaume mbabe na mwenye kujiamini. Aliwah kuwa na mwanaume mmoja ambaye alimpenda sana after sometime akaja kunambia yule mwanaume amepoa sana. Si mwanaume wa kiafrika. Cool mpaka anaboa.akamwacha.
Nmeangalia angalia humu ndan mmeona kuna jamaa anaitwa GuDume nani anamfaha huyu jamaa? Ili nimuunganishe na sister ikiwezekana amzalishe tu ili dada aache dharau kwa wanaume.
Mwenye kufahamiana na gudume au mwenye kumfaham naomba details zake. Sitak ajielezee yeye mwenyewe maana anaweza kuweka na masala kwenye chai yake. Naomba kwa anayemfaham gudume anipe fail lake.
Lakini kama kuna mwanaume mwngine ngangari aweke hapa details zake na ushahidi. Huyu sister hapend love stories na utozi. Ni lidada lizuri ila amekua na sisi wanaume watano wa kile peke yake. So anapenda ubabe flan hivi na anajiamini sana.ila akichimbwa bit kali anaogopa. Mi mwaka jana tu nlimchapa kibao. Nlishangaa alikuja kuniomba msamaha baadaye na kusema anajisikia raha amepata kaka wa nguvu. Dume hasa. Nikakumbuka stories za gudume.
Tehe! Kaingia mitini tena?Jamaa ananiuzia chai tu. Hana lolote.... Mi natafuta mke angenitumia namba ya simu kimya kimya....
Nipe namba ya huyo dada yako nikambandue mpaka akili zimkae sawa.Kuna sister tupo naye ktk family inashangaza sana. Ni mzuri ana kazi na anaishi kwake. Si malaya ila nmemsoma anahitaj mwanaume mbabe na mwenye kujiamini. Aliwah kuwa na mwanaume mmoja ambaye alimpenda sana after sometime akaja kunambia yule mwanaume amepoa sana. Si mwanaume wa kiafrika. Cool mpaka anaboa.akamwacha.
Nmeangalia angalia humu ndan mmeona kuna jamaa anaitwa GuDume nani anamfaha huyu jamaa? Ili nimuunganishe na sister ikiwezekana amzalishe tu ili dada aache dharau kwa wanaume.
Mwenye kufahamiana na gudume au mwenye kumfaham naomba details zake. Sitak ajielezee yeye mwenyewe maana anaweza kuweka na masala kwenye chai yake. Naomba kwa anayemfaham gudume anipe fail lake.
Lakini kama kuna mwanaume mwngine ngangari aweke hapa details zake na ushahidi. Huyu sister hapend love stories na utozi. Ni lidada lizuri ila amekua na sisi wanaume watano wa kile peke yake. So anapenda ubabe flan hivi na anajiamini sana.ila akichimbwa bit kali anaogopa. Mi mwaka jana tu nlimchapa kibao. Nlishangaa alikuja kuniomba msamaha baadaye na kusema anajisikia raha amepata kaka wa nguvu. Dume hasa. Nikakumbuka stories za gudume.