Dada yangu mzuri ila jeuri, ana uwezo, umri umeenda nataka nimuunganishie mwanaume wa kumdhibiti

Tupe link...
 
Wadau .... Tayari ninamtia adabu muda huu... Au mnataka na picha... Kesho akionana na kaka zake atakuwa na heshima ya kufa mtu. Salamu siyo magoti tu atakuwa analala kifud fudi kabisa wakat wa kuwasalimia wanaume....
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Wee noma
 
Wadau .... Tayari ninamtia adabu muda huu... Au mnataka na picha... Kesho akionana na kaka zake atakuwa na heshima ya kufa mtu. Salamu siyo magoti tu atakuwa analala kifud fudi kabisa wakat wa kuwasalimia wanaume....
 
Chai
 
Hadi leo hajapata mtu? Kama jibu ni ndiyo nitumie picha kwani natafuta mwanamke dizaini hiyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…