brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Reta namba hapa haraka nimshughulikie huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe link...Kuna sister tupo naye ktk family inashangaza sana. Ni mzuri ana kazi na anaishi kwake. Si malaya ila nmemsoma anahitaj mwanaume mbabe na mwenye kujiamini. Aliwah kuwa na mwanaume mmoja ambaye alimpenda sana after sometime akaja kunambia yule mwanaume amepoa sana. Si mwanaume wa kiafrika. Cool mpaka anaboa.akamwacha.
Nmeangalia angalia humu ndan mmeona kuna jamaa anaitwa GuDume nani anamfaha huyu jamaa? Ili nimuunganishe na sister ikiwezekana amzalishe tu ili dada aache dharau kwa wanaume.
Mwenye kufahamiana na gudume au mwenye kumfaham naomba details zake. Sitak ajielezee yeye mwenyewe maana anaweza kuweka na masala kwenye chai yake. Naomba kwa anayemfaham gudume anipe fail lake.
Lakini kama kuna mwanaume mwngine ngangari aweke hapa details zake na ushahidi. Huyu sister hapend love stories na utozi. Ni lidada lizuri ila amekua na sisi wanaume watano wa kile peke yake. So anapenda ubabe flan hivi na anajiamini sana.ila akichimbwa bit kali anaogopa. Mi mwaka jana tu nlimchapa kibao. Nlishangaa alikuja kuniomba msamaha baadaye na kusema anajisikia raha amepata kaka wa nguvu. Dume hasa. Nikakumbuka stories za gudume.
HelloTupe link...
Kumbe gudume una ID mbili
Ni huyohuyo wala msiumize kichwa. Hajaanza leo drama hiiNimehisi the same. Ni mtu huyo huyo
Mambo!Hello
Umejuaje?Kumbe gudume una ID mbili
Basi huyu ni chizi kweliNi huyohuyo wala msiumize kichwa. Hajaanza leo drama hii
Wee nomaKuna sister tupo naye ktk family inashangaza sana. Ni mzuri ana kazi na anaishi kwake. Si malaya ila nmemsoma anahitaji mwanaume mbabe na mwenye kujiamini. Aliwahi kuwa na mwanaume mmoja ambaye alimpenda sana after sometime akaja kuniambia yule mwanaume amepoa sana. Si mwanaume wa kiafrika. Cool mpaka anaboa akamwacha.
Nmeangalia angalia humu ndani mmeona kuna jamaa anaitwa GuDume nani anamfaha huyu jamaa? Ili nimuunganishe na sister ikiwezekana amzalishe tu ili dada aache dharau kwa wanaume.
Mwenye kufahamiana na gudume au mwenye kumfahami naomba details zake. Sitaki ajielezee yeye mwenyewe maana anaweza kuweka na masala kwenye chai yake. Naomba kwa anayemfahamu gudume anipe faili lake.
Lakini kama kuna mwanaume mwingine ngangari aweke hapa details zake na ushahidi. Huyu sister hapend love stories na utozi. Ni lidada lizuri ila amekua na sisi wanaume watano wa kike peke yake.
So anapenda ubabe flani hivi na anajiamini sana ila akichimbwa biti kali anaogopa. Mi mwaka jana tu nilimchapa kibao.
Nilishangaa alikuja kuniomba msamaha baadaye na kusema anajisikia raha amepata kaka wa nguvu. Dume hasa. Nikakumbuka stories za gudume.
mimi demu wangu yuo kwenye group mpaka leo .. ndo ananipa mikasa na visa mbalimbali vya huko kwenu. na wewe si una watoto watatu mmoja umembambikia mumeo????????? ha ha ha... we valentina wewe unaweka picha ya mtu akam decent ila ... acheni kuwafundisha wenzenu tabia mbaya. mmefika wangapi katika kuwa recruit ?
mimi kwenye group mmle nlifanikiwa kuwala watu wanne tu walikuwa desperate sana. basi nikajilia na mmoja wapo wa kudumu ni wewe sema hujajua tu kuwa ni mimi gudume gwenu... mimi napohitaj .. hata ukivalisha sketi navaa...wala sina shida ili mradi nipate tu demu ninayemtaka ......
Wadau .... Tayari ninamtia adabu muda huu... Au mnataka na picha... Kesho akionana na kaka zake atakuwa na heshima ya kufa mtu. Salamu siyo magoti tu atakuwa analala kifud fudi kabisa wakat wa kuwasalimia wanaume....
Ha ha haaa hebu liamshe vizuri hilo dude...
Kujifanya kubadili jinsia ili iweje?
Hivi nani anaefundishwa tabia mbaya kule? Ni wewe uliejifanya kumzimikia mume wamtu na kuapa kufanya kila uwezalo kumpata? Au ni wale waliokushauri uachane na mtazamo wako huo na kuacha kuingilia ndoa ya watu?
Na ilihali mume wamtu huyo ni wewe mwenyewe,unajitekenya na kucheka mwenyewe...
Achaga hizo bana,mwanaume kamili hana mambo ya dizain hiyo wewe
Kama uliweza kutuchezea akili kule hapa unashindwaje? Em niweke nukta hapa mimi,wala sitaendelea kukujibu,we amsha hilo dude kadri uwezavyo
ChaiKuna sister tupo naye ktk family inashangaza sana. Ni mzuri ana kazi na anaishi kwake. Si malaya ila nmemsoma anahitaji mwanaume mbabe na mwenye kujiamini. Aliwahi kuwa na mwanaume mmoja ambaye alimpenda sana after sometime akaja kuniambia yule mwanaume amepoa sana. Si mwanaume wa kiafrika. Cool mpaka anaboa akamwacha.
Nmeangalia angalia humu ndani mmeona kuna jamaa anaitwa GuDume nani anamfaha huyu jamaa? Ili nimuunganishe na sister ikiwezekana amzalishe tu ili dada aache dharau kwa wanaume.
Mwenye kufahamiana na gudume au mwenye kumfahami naomba details zake. Sitaki ajielezee yeye mwenyewe maana anaweza kuweka na masala kwenye chai yake. Naomba kwa anayemfahamu gudume anipe faili lake.
Lakini kama kuna mwanaume mwingine ngangari aweke hapa details zake na ushahidi. Huyu sister hapend love stories na utozi. Ni lidada lizuri ila amekua na sisi wanaume watano wa kike peke yake.
So anapenda ubabe flani hivi na anajiamini sana ila akichimbwa biti kali anaogopa. Mi mwaka jana tu nilimchapa kibao.
Nilishangaa alikuja kuniomba msamaha baadaye na kusema anajisikia raha amepata kaka wa nguvu. Dume hasa. Nikakumbuka stories za gudume.
DuuuhMshikaji unamtaka mwanaume mwenzio kwa kujificha kwenye kichaka cha Dada yako sio?
Hadi leo hajapata mtu? Kama jibu ni ndiyo nitumie picha kwani natafuta mwanamke dizaini hiyo sana.Kuna sister tupo naye ktk family inashangaza sana. Ni mzuri ana kazi na anaishi kwake. Si malaya ila nmemsoma anahitaji mwanaume mbabe na mwenye kujiamini. Aliwahi kuwa na mwanaume mmoja ambaye alimpenda sana after sometime akaja kuniambia yule mwanaume amepoa sana. Si mwanaume wa kiafrika. Cool mpaka anaboa akamwacha.
Nmeangalia angalia humu ndani mmeona kuna jamaa anaitwa GuDume nani anamfaha huyu jamaa? Ili nimuunganishe na sister ikiwezekana amzalishe tu ili dada aache dharau kwa wanaume.
Mwenye kufahamiana na gudume au mwenye kumfahami naomba details zake. Sitaki ajielezee yeye mwenyewe maana anaweza kuweka na masala kwenye chai yake. Naomba kwa anayemfahamu gudume anipe faili lake.
Lakini kama kuna mwanaume mwingine ngangari aweke hapa details zake na ushahidi. Huyu sister hapend love stories na utozi. Ni lidada lizuri ila amekua na sisi wanaume watano wa kike peke yake.
So anapenda ubabe flani hivi na anajiamini sana ila akichimbwa biti kali anaogopa. Mi mwaka jana tu nilimchapa kibao.
Nilishangaa alikuja kuniomba msamaha baadaye na kusema anajisikia raha amepata kaka wa nguvu. Dume hasa. Nikakumbuka stories za gudume.
Whatever age aliyokuwa nayo by then, jumlisha 7.Hadi leo hajapata mtu? Kama jibu ni ndiyo nitumie picha kwani natafuta mwanamke dizaini hiyo sana.