Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

Habari zenu naitwa emmanuel paul nina shahada ya kwanza ya ualim naomba msaada kama kuna mtu yoyote mwenye connection ya kwenda nchi za uarabuni anisaidie naitaji kwenda kuangalia fursa za kazi
Sawa ila jiandae kisaikolojia mwarabu hanaga undugu na ngozi nyeusi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi niko uarabuni hawajaali umetoka nchi gani wala rangi yako wewe ni kazi yako na contract mliyokubaliana na mazingira ya kazi imeainisha kwa mkataba unakuja ukijua wewe ni mfanyakazi kutoka nje ya uarabuni simple like that
 
Niunganishe mkuu
 
Niunganishe mkuu passport ninayo
 
Back
Top Bottom