Dada zangu hii style ya mapenzi ni hatari, unaweza muua mpenzi/mumeo kwa raha

Dada zangu hii style ya mapenzi ni hatari, unaweza muua mpenzi/mumeo kwa raha

ch
kuna dada mmoja alikuwa anasimulia anasema kuna style ya mapenzi ambayo ni balaa..hii inawezekana kwa wale wadada ambao hawana uzito mkubwa sana.

anasema namnukuu " mwanamke unatakiwa usiwe na uzito wa ng'ombe.uwe na uzito wako wa wastani wa mbuzi au kondoo. unapokuwa na mtu mpenzi wako chumbani kwake au kwenu basi kuwe na feni ile ya juu. then bint unaweza shika mapanga mawili ya ile feni au kama ipo juu sana basi unafunga kamba ambayo unakuja ishika huku chini. wakati huo mpenzi wako anakuwa amelala chali. yupo standby.

basi mpenzi wako anaenda kuwasha feni kwa speed ya kawaida tu hasa namba moja na mbili. ile feni inapozunguka basi nawe mwanamke unazunguka then jamaa anafanya timing anaingiza anasema hapo feni inakuwa imesha gain momentum..so unazunguka huku machine ikiwa ndani kwa speed ya ile pangaboi"

anasema hapo mwanaume anaweza maliza double double hata mara 5 maana ni balaa...joto analopata na wewe mwanamke unalopata mnaweza jikuta siku hiyo hamtoki ndani. nilishangaa sana ubunifu huu wa waafrika hasa dada zetu kipindi hiki ambacho inasemekana kuna ukata.basi nao hawajabaki nyuma. najiuliza hivi hii mtu unaweza jaribu ukabaki salama?fikiria ile feni inavyozunguka halaf ndo iwe imefungashiwa kwenye mashine yako mwanaume....

chai bila kitafunwa na wala sukari
 
miguu anaiweka kama amechuchumaa hivi ila anaipandisha juu zaidi halafu kwenye feni anashikilia panga mbili then inawashwa inaanza kuzunguka.

Mimi nataka kujua tuu ati huyo mwanamke alikuwa nae kaning'inia kama feni na kuweka miguu juu usawa wa kichwa au mabega ili aweze kuzunguka au alikaa mkao wa kawaida tuu?
 
Kweli kabisa mkuu na hapo kwa kuvuta picha tu ni mchezo mmoja wa hatari sana.

Bora kukosa hizo raha mkuu kuliko kupata ulemavu wa kujitakia..
Kwa mfano ww unahisi unaweza kupata ulemavu wa wap labda?
 
JIONEENI HICHO KIELELEZO HAPO JUU. HAYA MAMBO YAPO JAMANI. SIYO KAMA HUFANYI AU HUJAWAH ONA HICHO KITU HAKIPO... JARIBU TU LEO UKIRUDI UONE INAVYOKUWA.

Vitu vingine sijui mnataka mgundue nini

Sasa hapo huyo mwanamke anazungukaje kwa spidi ya feni?
i[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]
Kweli kabisa mkuu na hapo kwa kuvuta picha tu ni mchezo mmoja wa hatari sana.

Bora kukosa hizo raha mkuu kuliko kupata ulemavu wa kujitakia..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
huyuu jamaa ni dr ngono.

uyoo mwanamke atazungukaje na feni kizungu zungu siatazimia.

uwoo utamu bora nisiupate hukawii kuvunjika dushee.
Ha ha ha nimecheka sanaaa dunian kuna mambo
Style za bombardier hizi
Ha ha ha nimecheka sanaaa dunian kuna mambo
Do not try this at home !!
Sasa mkuu feni si itan'gooka.!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..nimebaki nacheka tuu
 
HAMNA kapeace kwa ile raha yake water haitakauka itaendelea kuja tu na usisahau feni inapuliza juu huku chini kunakuwa kumezibwa na mwili wako.. angali mwenyewe hiyo picha uone.

Hii tumepewa chai best, kwanza feni inakausha ma wora sasa hapo huko chini si patawaka!!!
 
Hatari kwa maisha yako,
Hasa mwanamke yuko hatarini kwa maisha yake
 
Huyo binti akitoka hapo akiweza kusimama wima kwa mida wa dk 2 nampa laki
 
Back
Top Bottom