Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

Wewe hujui maana ya uhuni
Mtu muhuni haijalishi ni sharobaro au mtu smart
Mtu muhuni anaemaanisha mleta mada ni yule mtu ambae hatulii na mwanamke moja,. Muhuni anaweza akawa yuko vzr kitandan au asiwe vizuri
 
Kwa kiufupi jibu kwa mleta mada ni wanawake kwenye mambo ya attraction wako opposite na sisi
Sisi tunapenda mwanamke mwenye aibu kidogo wao hapana
Sisi tunapenda mwanamke laini wao hawapend mwanaume wa hvyo
Sisi tunapenda mwanamke ambae hajapigwa sana wao pia ni opposite ya hyo, so ndo wahuni wamelalia apo
 
Unamaanisha masela ?!!!

Kama ndivyo nianze kukujuza kuwa usela si uhalifu......usela si kuvuta ganja hadharani....usela si kuivunjia heshima jamii na watu wake ....usela si kutowajibika.....usela sio kutokuwa na utu ,haya na soni.....

Usela ni imani.....

Msela anajitambua.....
Msela hasujudii na kuwaogopa watu......
Msela hazingui wengine na mwiko kuzinguliwa......
Msela hapendi kuonea wengine.....
Katu msela hakubali kuonewa.....na yeyote yule....narudia tena katu hakubali hakubali hakubali KUONEWA.......
Msela ni mtu wa mazoezi ,torati ya kitaa inamtaka msela awe anajua sanaa za mapigano....kukichafuka huweza kujilinda na kumlinda mpenzi wake dhidi ya WAGAIGAI hata 10.......
Msela anajithamini na kujipenda Sana....Sana....mno.....
Kwa kuwa msela ANAJIPENDA basi ana hulka ya kupenda wengine kiukweli......

Msela ni ALPHA MALE na si BETA MALE.....
Msela si mtumwa wa mapenzi na hamsujudii mwanamke......

Hakika mademu WANAWAPENDA MASELA KWANI WAO SI SUBMISSIVES.....

Salaam zimfikie mwanangu EXTROVERT baharia wake NISHANYONGEA katika "zigi" jicho liko wima hapa JF.......

USELA NI IMANI KUBWA NA LANGO LA TORATI YA MITAA

#Yetzer ha-tov
#Shavua Tov
 
Kuna kaka mmoja wenzie wanamwambia ameokota dodo kwenye mwarobaini na mimi huwa naambiwa nimerogwa sio bure. Kwanza anavuta majani ile mbaya, kipato chake anaaford kula kwa siku kutokana na kazi yake. Lakini ndio nimekufa nimeoza kila mtu anatamani kujua sababu ila hata mimi sijui.
 
Ww jinsia ya ke?
 
Wewe hujui maana ya uhuni
Mtu muhuni haijalishi ni sharobaro au mtu smart
Mtu muhuni anaemaanisha mleta mada ni yule mtu ambae hatulii na mwanamke moja,. Muhuni anaweza akawa yuko vzr kitandan au asiwe vizuri
Hold on ..Kuna mambo mawili hapo,usimlishe mleta mada maneno ambayo hajazungumza mkuu


Tafsiri isiyo rasmi kutokana na mada tuiweke hivi
1.muhuni=mtu asiyejali kuhusu swala la mvuto kimwonekano na matendo

2.muhuni=mtu mwenye Tabia za kimalaya.leo yupo na huyu kesho yupo na huyu

Sasa muulize mtoa mada Hance Mtanashati alikuwa na maana ipi Kati ya hizo mbili
 
He is a really man....an african dude who ain't faking life.....

Mtu wa SHADA anayejithamini.....endelea kufaidi maisha na mwana👊

Kudos
 
Cc Extrovert
 
Masela wote peponi!
 
Ni kitendo cha kufanya vitu un acceptable kwa jamii inayokuzunguka
Traditionally uhuni una maana hio ila in a modern definition uhuni ni hali ya kuwa “disminder”

Muhuni ni mtu ambaye ni an easy going person! Sio complicator which means anaweza kuwa as realistic and original as possible katika any situation.
 

Unaposema jamaa hana muonekano una maana gani?? Huo muonekano hana kwako au kwa nani??
 
Huwa mnapenda originality ya maisha... Mwanaume akikuhit na maisha halisi lazma utamuelewa sana, sababu wanawake wengi mnaishi katika imaginary worlds. Mwanaume ambaye anakuleta katika real world bila aibu na kukufanya uishi uhalisia comfortably wengi huwa mnazimika nao!

Ila wale matozi wa kuazima magari ya watu na kujishow show kichoko huwa mnawaonaga kama wanawake wenzenu. Muhuni anatake charge 24/7 na huwa ana kauli za wazi aidha unataka au hutaki na habembelezagi ujinga. Utajiformat mwenyewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…