Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,718
- 3,471
Wewe hujui maana ya uhuniSasa nyinyi mnaojiita masharobaro kazi yenu ni kuagiza chipsi mdebwedo zenye mayonaizi nyingi pale Kwa Mayweather chipsi ..kuvaa nguo za kike,kuweka breach kichwani na kulamba lipsi km paka aliyepigwa mwiko mdomoni..kitandani hamna maajabu yoyote zaidi ya kimoko chali
Upande wa pili watoto wa kihuni hawanaga mambo mengi wao wanafocus kwenye kupeleka Moto Tu Hadi mtoto anakimbilia kujibana ukutani Kwa nn wasishobokewe?
Kuna demu mtaani ana mabwana watatu;mmoja ni Hb sharobaro wa kuuza nae Sura kwenye mitoko ya Cheka Tu mlimani city na kidimbwi beach,wa pili ni sponsor wa kutoa mitonyo na watatu ndy huyo uliyemuanzishia uzi_muhuni mmoja hivi ana kovu la wembe upande wa kushoto wa shavu.. Mzee wa kufanikisha mission mzima ya kitandani iliyowashinda hao wawili
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mtu muhuni haijalishi ni sharobaro au mtu smart
Mtu muhuni anaemaanisha mleta mada ni yule mtu ambae hatulii na mwanamke moja,. Muhuni anaweza akawa yuko vzr kitandan au asiwe vizuri