Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

Uko form ngapi?
 
Ina maana waseminali wanatumika kama tairi ya akiba?
 
Mleta uzi kuwa kidume... Uhuni una tafsiri nyingi sana.

Mi muhuni tokea vidudu nalala guest - Stamina
Mi muhuni hadi Condom navaa mlegezo - Stamina

Poleni masharobaro mnaolia na Wapenzi,, wakati wahuni tunadekezwa. - unknown

InFact mapenzi hayana formula,, ila wakati wataalamu wanaendelea kuitafuta formula..naomba kwa sasa tumia hio ya kuwa Alpha male.... hadi pale formula itakapopatikana (inaonekana kwa sasa hio ndio inafanya kazi vizuri)
 
Mdada akiwa na mhun ana uhakika juu ya usalama wake kulko akiwa na jamaa bshoo tu mtot wa mama
 
Goodnaitini mahardcore wotee.. Muote ndoto njema.

Kwa my zangu muote ndoto mbaya mbaya mpk mujifunze uhuni kidogo ama muendelee kutuma huduma vigangoniView attachment 2021405

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
isije kuwa unachanganya wahuni na mabishoo. Kuna wale wahuni wahuni kweli yaani watu wa kuamsha amsha popote walipo hapapoi. Hizo code za huyo jamaa umempost za kibishoo/kisharobaro sana asee
 

Oya msela oyaa, Oyaaaaa
Oya msela oyaa, Oyaaaaa

Msela sio mchafu
Msela sio mwizi
Msela mtanashati, anaenda na wakati
Msela sio mzushi.....
 
Ila wabongo ujuaji mwingi unaweza kuta kesi ndogo ila mtu atataka kujifanya anafungua kamusi atafute maana ya muhunii wakati kuna lugha ile halisi na lugha ya kimazoea..... naamini wengi tumeelewa mleta mada anamaanisha nini anaposema muhuni.


Mchango wangu:
Wanawake wengi wanapenda mwanaume mwenye hulka, matendo na muonekano wa kiume kama sisi mwanamke mwenye haiba ya kike.
Ila uanaume sio uhuni ingawa uhuni unaweza kuwa ni uanaume
 
Masela wote peponi, hatuigizi maisha tupo real [emoji23][emoji23]
 
Yeye ni "mtanashati", anashangaa kwanini jamaa hajiweki vizuri kimuonekano na bado ana pata warembo?
Yeye anaweza kumuona hajiweki vizuri ila wengine wakamuona yuko perfect! Ndio maana nilitaka kujua hajiweki vizuri kwa nani au kwa mleta mada?? Mi naona kama mleta mada ni mbinafsi sana ndio maana anataka wote tupende anavyopenda yeye 🤣🤣🤣🤣
 
isije kuwa unachanganya wahuni na mabishoo. Kuna wale wahuni wahuni kweli yaani watu wa kuamsha amsha popote walipo hapapoi. Hizo code za huyo jamaa umempost za kibishoo/kisharobaro sana asee
Hao wahuni unaowasema wewe.....! Ni wasela Mavi wasiojitambua sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…