Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
FANYA MPANGO WA KUWEKA PICHA MKUU.Ki ukweli, kwangu mimi hakuna kitu kibaya kwa dada menye ngozi ya kiafrica akajichubua....
Najua Mtanichukia, na kunitukana ILA MUNGU ANAWAONA....
ACHENI KUJIHARIBU SURA
View attachment 394357
PARADIGM Hata kama, eti kwa sababu tu ya kuonekana ndiyo ulazimishe uonekane?hii ni kweli kwamba kama watu wawili wana uzuri sawa, mmoja mweusi na mwingine mweupe mara nyingi mweupe ataonekana mzuri zaidi. Ni kweli kwamba weupe unaficha madhaifu mengi. Na ukimuona msichana mweusi na kila mmoja anamuona mzuri basi ujue huyo ni mzuri haswa. Angekuwa mweupe anakuwa moto wa kuotea mbali.
Ki ukweli, kwangu mimi hakuna kitu kibaya kwa dada menye ngozi ya kiafrica akajichubua....
Najua Mtanichukia, na kunitukana ILA MUNGU ANAWAONA....
ACHENI KUJIHARIBU SURA
View attachment 394357
Hiyo picha ya pili huoni amependeza? Utuwache tupendeze bhanaKi ukweli, kwangu mimi hakuna kitu kibaya kwa dada menye ngozi ya kiafrica akajichubua....
Najua Mtanichukia, na kunitukana ILA MUNGU ANAWAONA....
ACHENI KUJIHARIBU SURA
View attachment 394357
katika picha nilizoambatanisha hapo juu...mmoja wao ni shemeji yako, akiwa katika muonekano tofauti 6years back and nowWw demu/mkeo hajajichubua? km jb ni hapana bhas tuma pcha yake ya ss na ya miaka 3 iliyopta ila kama ni ndio bhas kausha nayo...tuanzie hapo