Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Kama wazazi wenu hawa muambii Ni vyema na haki mkaachana na biashara ya udangaji kwani ni hatari Kwa afya zenu na Kwa jamii pia.
Leo kwenye saa6 mchana mdada wawatu kidogo achinjwe.
IKO HIVI.....
Huyu dada alikuwa na bwanake permanent anaye muhudumia Kila kitu inshort ni nusu Mme wake.
Jamaa alisafiri kwenda Arusha ijumaa Jana jpili akarudi kimya kimya akalala kahama.
Leo katoka kahama Hadi Kwa hawala yake si akakuta jemba nyingine imo imekesha na imelala kabisa mchana kweupe.
Valangati ndo likaanza Sasa yule jamaa aliyefumwa akajitetea
Bro Mimi wanionea tu sijawahi ambiwa na huyu dada na nipo tangu Jana (jpili) jioni hapa.
Muda huo jamaa ana kisu mkononi. Vile anataka amchome yule msela (mfumaniwa) akakidaka kisuu ndo kupiga makelele watu wakajaa pale.
Hili tukio ni la4 huu mwaka achana na ya kisu mengi ni kipigo Cha mbwa Koko tu. Na jamaa wanabeba mizigo Hadi na nguo walizo kununulia.
Kuna mwingine mafuta yalihusika baada ya kufumaniwa jamaa akasema kumbe wewe ni Malaya sana akaita wahuni. Ni aibu na wote wanahama mtaa kama wezi.
Hivi ninyi hizo kitu Zenu hamuzioneagi huruma jamani hata kidogo? Au ndo vile zishaota sugu ?
Tukio la Leo limenikuta nimelishihudia mengine ya kusimuliwa na bahati nzuri wale wadada baadhi Yao nawajua.