Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Huo wivu acha tugawane tunda kimasihara!Hii nikweli mwanaume ukijua piga chini Kwa gharama yoyote ile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo wivu acha tugawane tunda kimasihara!Hii nikweli mwanaume ukijua piga chini Kwa gharama yoyote ile
Haiwezekani kujua kama mtu atakusaliti au la, watu hawatabirikiHakuna mwanamke anayeweza kutumia hela ya mwanamme kwenye mapenzi bila ya mwanamme kukubali.
Ukiwa na mwanamke anayekuja kuchepuka ina maana umeshindwa kuchagua mwanamke asiyechepuka, kosa la awali kabisa ni lako hapo.
Saddam Hussein alisema anamjua mtu atakayemsaliti kabla huyo mtu mwenyewe hajajua kuwa atamsaliti Saddam Hussein. Unatakiwa kuwa na uwezo huo.Haiwezekani kujua kama mtu atakusaliti au la, watu hawatabiriki
Pesa sio kigezo pekee kwenye mapenzi mbona, mambo ya usaliti yapo hadi kwa matajiri...
Kwahiyo pesa inaweza isiwe sababu ama sababu pekee ya usaliti
Hayo mambo hayawezi isha, eti kusema siku moja itatokea wanaume wote wakapata akili moja.Kama wanauza kujikimu au kujikirimu, wanaume wakiacha kuhonga na wao wataacha kudanga.
Hili ni suala la demand and supply forces determining price using the normal curve, somo la uchumi hilo.
Hayo mambo hayawezi isha, eti kusema siku moja itatokea wanaume wote wakapata akili moja.
Sikupingi mkuuKitu nimejifunza kupitia Mahusiano na wanawake ni kua.
Lolote na chochote kinaweza kutokea unapokua na mwanamke ktk mahusiano.
Usifanye Jambo lolote eti kumfanya mwanamke asikusaliti au iwe ndo garantee ya kua na wewe.
K ni yake na anamaamuzi ya kumpa yeyote amtakae, muda wowote.
Kumpangia nyumba. Kumnunulia gari na chochote utakachofanya kwa mwanamke ni sawa sawa na kutupa mwanamke hana kumbukumbu Wala shukrani...
NOTE" Ukitupa kitu jalalani uwezi kua na kumbukumbu nacho, ndivyo ilivyo akili ya mwanamke, Chocho anachofanyiwa cha maana au cha Gharama huwa ana kumbukumbu nacho na mwanamke akipenda Sehemu hata kichakani au kwenye zizi la ngo'mbe analala bila shida na utagonga utakavyo" Hao ndo wanawake.
Huyu ni mdangaji maana Hadi wanafumaniana sio bureAcheni kukuza mambo bwana we, yaani wanaume wawili tuuuuu ndio umemuita mdangaji!!!
Wewe unao wangapi?Acheni kukuza mambo bwana we, yaani wanaume wawili tuuuuu ndio umemuita mdangaji!!!
Hawa Hawa wakileo?Saddam Hussein alisema anamjua mtu atakayemsaliti kabla huyo mtu mwenyewe hajajua kuwa atamsaliti Saddam Hussein. Unatakiwa kuwa na uwezo huo.
Sijasema pesa ni kigezo pekee, nimesema wanaume wakiacha kutumia pesa kwenye mapenzi wanawake wataacha kudanga.
Aliyefumania ndio ana matatizo, kwanini sasa amvizie mwenzake!!Huyu ni mdangaji maana Hadi wanafumaniana sio bure
Sina hata mmoja.Wewe unao wangapi?
Ilitakiwa awe na wanaume wangapi ndio ajulikane kua ni mdangaji?
Mke wangu hawezi olewa na chawa hata umuhonge ubongo wako wote ataupuuza chawa hamnamoHalafu wewe jomba mke wako anaweza kuolewa hata ukiwa hai. Kuna uzi humu jamaa analalamika mkewe kuolewa
Mrembo kama wewe unakwama wapi aisee? Au unatupanga tu hapa?Sina hata mmoja.
... service majiShida ni kwamba hazina MITA na hazilipiwi Kodi!
Jimbo kashalimiliki Kuna haja Gani ya kutoa taarifa kuwa Leo unakuja jimboni kwako?Aliyefumania ndio ana matatizo, kwanini sasa amvizie mwenzake!!
Naunga mkono hoja mkuu🤗Kumchoma mtu kisu kwa sababu umemfumania ni ufala tu.
Ukimfumania mtu na mwanamke wako hapo kosa ni lako mwanamme.
Kuna sehemu umekosea.
Wanawake hawawezi kuacha kudanga kama wanaume hawaachi kutumia hela kwenye mapenzi.