Dada zetu Acheni kudanga; ama mpunguze. Hii ni too much sasa.

Halafu wewe jomba mke wako anaweza kuolewa hata ukiwa hai. Kuna uzi humu jamaa analalamika mkewe kuolewa
 
Kumchoma mtu kisu kwa sababu umemfumania ni ufala tu.

Ukimfumania mtu na mwanamke wako hapo kosa ni lako mwanamme.

Kuna sehemu umekosea.

Wanawake hawawezi kuacha kudanga kama wanaume hawaachi kutumia hela kwenye mapenzi.
Kwani ni wanaume ndo tuliamua hela itumike kwenye mapenzi?

Ni wanawake ndo waliamua(hii ni story nyingine ndefu lakini)

Ukimkuta mtu anachepuka kosa ni 1. Lake na 2. La anayechepuka naye ikiwa anafahamu kabisa huyo mhusika ana mahusiano mengine.
 
Kwenye hayo mambo kuna zaidi ya fedha na hizo huduma
 
Kwani ni wanaume ndo tuliamua hela itumike kwenye mapenzi?

Ni wanawake ndo waliamua(hii ni story nyingine ndefu lakini)

Ukimkuta mtu anachepuka kosa ni 1. Lake na 2. La anayechepuka naye ikiwa anafahamu kabisa huyo mhusika ana mahusiano mengine.
Hakuna mwanamke anayeweza kutumia hela ya mwanamme kwenye mapenzi bila ya mwanamme kukubali.

Ukiwa na mwanamke anayekuja kuchepuka ina maana umeshindwa kuchagua mwanamke asiyechepuka, kosa la awali kabisa ni lako hapo.
 
Mleta mada huu ushauri wako ungeanza kuwashauri wale wanaume wahongaji ndio ingeleta maana,hakuna soko bila wateja,

Demand ikiwepo basi supply itakuwepo tu,ni sawa na kuwalaumu wezi badala ya kuwalaumu wanaonunua vitu vya wizi,

Kwa kumalizia,Malaya ni malaya tu,hata akipewa kila kitu au kuridhishwa,ule umalaya atakua nao tu,

Binadamu unapifikia stage ya kuuza mwili wako,unakua umefika stage ya ukichaa fulani,yani hela inakua na thamani kuliko mwili wako?
 
Anajifanya kamfiaa(kumpenda)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…