Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Ila wanaume wa humu kama wamemtenda mtoto wa watu wamemuharibu aisee
Haeleweki kabisa...its like kuna kitu kibaya kafanyiwa na wanaume wa humu!...maana comments zake naonaga shutuma tu...anataka wanaume wa nje[emoji23] [emoji23]