Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Harudishi
Lkn si mpenz wako mtakula matunda ya hiyo project ikijibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harudishi
Ahaaahaaa....NAHUJA umeuaMie wananikera wanavyojifanya kuwa wao ndio wenye hela, wao ndio wanaojua kutafuta hela, wao ndio wanaoombwa hela...
Wengine hata hela hawana wamening'iniza ma.ke.nde tu. mxeweuuuu. (si kwa povu hili)
Hahahaaa. Siku moja moja tuwachoze tu maana huwa wanatuchokoza pia.Haaahaaa...Hajar mchokozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Kwani ni nyie wanaume wenye uwezo wa kutafuta hela wanawake hawawezi?mbona mnapenda kujifanya kuwa mnaombwa sana hela? Kwani wanawake hawana hela?
Anayekupiga vibomu ni mpenzi wako ama ndugu yako?Kama ni kebenten basi ni sawa tuIshu ya kuombwa hela nadhani kina kaka kwa sasa mnaongoza jamani, mimi mpaka nimeamua mapenzi basi mnapiga vibomu mnooo mpaka unajiuliza huyu mpenzi au marioo, kwakweli mnakera.
Ndio siri ya mafanikio kiuchumi.Sipendi mahesabu ya namna hii ni ubahir sana
Unaongea na mimi Mkuu? 😳😳😳kwa nini unagongwa na watoto?
Nimemskip maskini mdada wa watu, stress mbaya......atakuwa kachanganya mafile mi wapi na wapi na yeye!...hata nyuzi zake sizijui[emoji26] [emoji15]Anzia alipomqote witty na alichokijibu yeye
[emoji23][emoji23][emoji23]Hayuko poa huyu dada namuonea huruma[emoji22] [emoji26]
[emoji122] [emoji57]Wanaombana! Hata wanaume wanaomba sana
Mwanamke hata awe na 100m atakuomba sh 10,000 yako.Kwani ni nyie wanaume wenye uwezo wa kutafuta hela wanawake hawawezi?mbona mnapenda kujifanya kuwa mnaombwa sana hela? Kwani wanawake hawana hela?
Napenda sana kuombwa hela na wadada wazuri wazuri
Mdada mzuri akiniomba hela siku yangu inakuwa ya furaha sana [emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui wamemfanyaje watu wa JFNimemskip maskini mdada wa watu, stress mbaya......atakuwa kachanganya mafile mi wapi na wapi na yeye!...hata nyuzi zake sizijui[emoji26] [emoji15]
[emoji23][emoji23]Nimemskip maskini mdada wa watu, stress mbaya......atakuwa kachanganya mafile mi wapi na wapi na yeye!...hata nyuzi zake sizijui[emoji26] [emoji15]
Katoto kazuri,tatizo lako moja.
Kwenye mada nyingi baada ya kutoa mchango kueleza,wewe unajielezea.
Ndio maana unakumbana na chalenge nyingi sana,ukiacha kujielezea, jf utaiona nzuri sana,.
Simuelewi shoga angu kama watu tu humu wanavyosema huwa uandishi wake una makengeza[emoji102] ....sema namuonea huruma mweeh!Ha haaa nikadhani wewe utakuwa unamuelewa
Napenda sana kuombwa hela na wadada wazuri wazuri
Mdada mzuri akiniomba hela siku yangu inakuwa ya furaha sana [emoji14]
Aaah wapi!Lkn si mpenz wako mtakula matunda ya hiyo project ikijibu
Haaahaaaa....hataree sana!Hahahaaa. Siku moja moja tuwachoze tu maana huwa wanatuchokoza pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji444][emoji444][emoji444] "Huku ni Kupatwa kwa Wity leo"[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444] [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Naimba tu rafiki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]