Haeleweki kabisa...its like kuna kitu kibaya kafanyiwa na wanaume wa humu!...maana comments zake naonaga shutuma tu...anataka wanaume wa nje[emoji23] [emoji23]
Nitumie bana. Am serious ujueSasa nishauri tufanyeje
Hahahaaa. Lakini salama.Haaahaaaa....hataree sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu naona wanasema kila siku anaaga. Kumbe ni muagaji maarufu na haondokiHaeleweki kabisa...its like kuna kitu kibaya kafanyiwa na wanaume wa humu!...maana comments zake naonaga shutuma tu...anataka wanaume wa nje[emoji23] [emoji23]
Itakuwa labda anamfahamuMtu kutoka jf?
Kuonana tena!!
Si nikupe tu namba unirushie
Tatizo machoNitumie bana. Am serious ujue
We acha tuu..Ila wanaume wa humu kama wamemtenda mtoto wa watu wamemuharibu aisee
Macho yamefanyaje?Tatizo macho
[emoji23][emoji23]Haaahaaaa...ufanyeje sasa!
Alitaka kunidondoshea jumba bovu nikala kona kali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh..mkubwa nisamehe
Maana kanishangaza ujue. Kunipakazia kule ni kwa kiwango cha hali ya juu πππ[emoji23] [emoji86] [emoji86]
Duh afadhali ningeomba ya vocha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kiporo cha ugali hapa pitia ule.
Eeh wewe sio mtoajiMacho yangu ndio yananicontral kwenye hili swala
Jichukue kavideo kafupi ukitembea alafu ukaposti hapaMacho yamefanyaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh..mkubwa nisamehe
Haaahaaaa asante....mi mwanamke mwenzangu nikiona kavurugwa haki najisikia vibaya sana!...wanawake tuna mateso sana humu duniani...so huwa nafeel pity!Hahahaaa. Lakini salama.
Angekutana na wale kina Mwajuma ndala ndefu mbona angesuuzwa nafsi ila hongera rafiki maana umeonyesha ukomavu. Teh teh
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Hahahaaa. Wachaaaaa.Naona kama ni tiba ya magonjwa ya moyo kwa upande wangu [emoji4]