Kama huna hela ndo utaumia,kuna kipindi nilikuwa sitaki hata kutongoza kwa sababu nipo vibaya,ila ukiwa na hela unajiamini na unakula kirahisi bila hata kuhonga maana una confidence na unaonekana tu una hela.
Sasa mtoto wa watu anatoka mbezi anakuja kibaha kwa nauli ya 15,000 uliyomtumia na humpi chochote kwanini asichukuliwe na mtu anamfuata kwa usafiri na kumrudisha kwa usafiri na kumwachia elfu kumi.
Ukiwa na hela wanawake watakuja wenyewe kwasababu bila hela hawapati care yoyote,atanuna kwa week shida zikianza utaona msg "baby nimekumiss nataka nije"