Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Mara mbili kwa wiki bora na hao. Kuna ambao kila siku wana matatizo. Nauli vocha, chakula.. ndio michezo yao ipo hapo. Mwanamke anadanga masaa 24.
Nilipata wa hivyo nikampiga chini mapema sana maana tabia chafu kama hizo sizipend kabisa..
Ila bora wanaoomba hela za maana hata mara moja kwa mwezi, kuliko wanaoomba tuhela twa vocha kwa wiki mara 2.
Sio siri inakera sana. Na huwa unawashushia thamani sana.
 
Nadhan wanaume tunatofautiana. Ishu sio ubahili wengine tunatoa vizur tu.. shida kwenu dada zetu nyie kila siku mna shida. Vocha,njaa, nauli, saluni kila week..

Unadhan tunazitoa wap hizo pesa?
Kuomba omba kila cku ni kero hata kama mwanaume ana pesa. Omba labda kila mwez.. kila wiki mbili au tatu. Omba kwa step sio manakuwa agressive kama tra.... mnataka kodi?
Mmezid ubahili wanaume acha muombwe tu hakuna namna
 
Katoto kazuri,tatizo lako moja.
Kwenye mada nyingi baada ya kutoa mchango kueleza,wewe unajielezea.
Ndio maana unakumbana na chalenge nyingi sana,ukiacha kujielezea, jf utaiona nzuri sana,.
 
Unakuta umekutana na mdada mtanashati mkabadikishana namba za simu, wengine hata siku haijaisha mmeanza kuchati kidogo tu utasikia
#Baby mambo, naomba nitumie vocha ya buku jelo
#Baby nitumie buku tatu na mia nane nikanywe supu. Usingekutana na huyo mwanaume ungekunywa nini?
#Mwingine utamskia, baby nywele zangu zinaniwasha hatari,nitumie 30K niende saluni.

Jamani tunajua hali ni ngumu lakini mnavyojirahisisha sana ndo watu wanawa konki konki halafu mnakuja kulalama baadae.

Sasa umtongoze mwanachuo ndo hatari zaidi, bill zote zinahamia kwako, usipojielewa utajikuta unalipa ada ya chuo na kumgharamia kila kitu.

Wanaume wanapenda wanawake wasiopenda kuombaomba. Kuna wanaume wakishanza kupata bill zisizoeleweka ndo wanapata sababu ya kuwakimbia. Na wengine watawavumilia ila wakishakula papuchi hamuwaoni tena.

Tunaelewa njaa ni kali ila nendeni kwa step la sivyo nyeti zenu zitaumia sana.
Aisee juzi kuna mmoja akaniambia anaenda saloon anaomba nimuongezee hela yaani hapo hata dakika 10 hazikuwa zimefika
 
Hela tu kuna wengine wanakuomba hela na bado geto anakuja kupika na bado anakula mkilalana anakupa mambo mmpaka unakimbia umuiti tena.


Mmh kwa experience yangu, wanawake wanaoaza kuomba hela baada ya kutongozwa, kamwe hawatoagi papuchi, hata wakiitoa utaona kuwa huyu MTU amenipa tu papuchi bhasi tu kwa vile imembidi, wala hajaridhia mm nilale nae katoto kazuri
 
Hahahaaa. Pole sana Mpwa.

Si ulimpa lakini? [emoji12]
Binamu mtu kama huyu anahitaji kusaidiwa maana inaonesha ana matatizo lakini hapaswi kuombwa chochote maana hapo ataota kitambi kabisa
 
Back
Top Bottom