Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
- Thread starter
- #81
Hatujakataa kuombwa hela tatizo ni kwamba mnaomba kinjaanjaa..Mnatufanya sisi ATM zenuMmezid ubahili wanaume acha muombwe tu hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujakataa kuombwa hela tatizo ni kwamba mnaomba kinjaanjaa..Mnatufanya sisi ATM zenuMmezid ubahili wanaume acha muombwe tu hakuna namna
Kwani ni nyie wanaume wenye uwezo wa kutafuta hela wanawake hawawezi?mbona mnapenda kujifanya kuwa mnaombwa sana hela? Kwani wanawake hawana hela?
Kumbe mkipewa hela ndo mnatoa nyapu? Wanaume kazi tunayoUkiniomba sikupi
Kwa nini sasa Mtani mbona sisi tunachangia?Hahahaha, mtani bana ,nasoma tu ,mie siwezi changia hz Mada ujue
Wana njaa ya kufa mtuAisee juzi kuna mmoja akaniambia anaenda saloon anaomba nimuongezee hela yaani hapo hata dakika 10 hazikuwa zimefika
Mtake radhi huyo ni Me Mkuu.Kumbe mkipewa hela ndo mnatoa nyapu? Wanaume kazi tunayo
Mapovu.com, relax mama..Tunajua kuna wanawake wanajielewa kama wewe. Ila kuna hilo kundi la pili ni shidaaaaaaKwani ni nyie wanaume wenye uwezo wa kutafuta hela wanawake hawawezi?mbona mnapenda kujifanya kuwa mnaombwa sana hela? Kwani wanawake hawana hela?
Hahahaaaa alivyocjangia nikajua ni KE..Nifikishie msamaha kwa mlengwaMtake radhi huyo ni Me Mkuu.
Usimaind sana katoto ka beautyLeo ndio mwisho wakuwa jamii forum napenda kuwaaga wote kupitia uzii huu ngoja nijitoe humu kabisa siku moja kunamtu atatoa picha zangu kwania mbaya akisema huyu ni katoto kazuri nikadangaji nahuku mimi nimtu najiheshimu familia yetu niwatu wa maadili na wameshika dini.
Watu wakikudis sio poa tena ambao hawakujui so kwa herini this time it's for real.
Kazi sio tija kama ni Guard wa benki mshahara 350,000 anawezaje gharama zote hizoWaambie wamezidi ubahili, mie nilikuwa napigiwa hesabu naambiwa kutoka ubungo hadi mbezi ni 1000 kwa m/kasi na 800 hadi kibaha unatumiwa 5000 nikaona upuuzi huu na mtu ana kazi hapo ila ubahiri wa hivi mm sipendelei
Hapana ni Me huyo. Muombe mwenyewe Mkuu sababu we ndio umemkosea.Hahahaaaa alivyocjangia nikajua ni KE..Nifikishie msamaha kwa mlengwa
Mie mwanzoni alinipa shida ila baadae nikajikuta namuelewa.
katoto kazuri usije na povu basi mdogo wangu. 😜😜
Hahahaaa. Ila kama mie huwa namuwekaga upande wa ile Id yake basi najikuta najijibu mwenyewe tu kwamba hajamature bado hivyo utoto nao sometimes huwa ni tatizo.
Mie bado sjamwelewa hahahaha sjui ana shida gan
😂😂😂😂 mdogo mdogo utamwelewa tu. 😂😂😂Haha me bado kabisa sjamwelewa nahisi sjui kama ntakuja mwelewa
Halafu unakuta za bia zipo.Waambie wamezidi ubahili, mie nilikuwa napigiwa hesabu naambiwa kutoka ubungo hadi mbezi ni 1000 kwa m/kasi na 800 hadi kibaha unatumiwa 5000 nikaona upuuzi huu na mtu ana kazi hapo ila ubahiri wa hivi mm sipendelei
Hili povu limekaa kinjaa njaa sana. Umepata breakfast asubuhi hii?Tujiuze wapi kwanani mnadhani kila mtu anawaza kuliwa na malala haoi kanyie kunawadada kama sisi tunajituma nakila tulichonacho wanaume hawawezi kutununua hata waje na nini so usituweke pamoja nahao mnao wapa elfu kumi halafu mnajiona nikwakila mdada .
Dhamani yangu ndio maisha yangu.
Umenielewa naukome nahao magroup ya wenzio kunichanganya na vimada vyenu .
Mmenielewa maisha ni mwangu sijawahi uza k yangu kwamaana nasubiria mwanaume aje anioe kistaarabu so kama humu ndani kuna list ya wapumbavu wanaona wanawake ni wakujiuza kisa vihela vya mikopo mtukome na vinguo vya misaada na vigari vya mikopo na uchokaji wa maisha wenu.
Msituletee sisi .
Kazoeni hadhi zenu.
Hahahah Tabia chafu kweli yani mbovu kabisaMara mbili kwa wiki bora na hao. Kuna ambao kila siku wana matatizo. Nauli vocha, chakula.. ndio michezo yao ipo hapo. Mwanamke anadanga masaa 24.
Nilipata wa hivyo nikampiga chini mapema sana maana tabia chafu kama hizo sizipend kabisa..