Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Halafu mambo yalivyo badilika siku hizi wanaume ndio mmekua ombaomba matonya asubiri. Mkija huku mnabadilisha maneno
Una wanaume wangapi wanakuomba hela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu mambo yalivyo badilika siku hizi wanaume ndio mmekua ombaomba matonya asubiri. Mkija huku mnabadilisha maneno
Umepatwa na nini? Hebu tulia kwanza
Zote hizo ni stress za kuolewa tu au na ushamba? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio jf na nyie ni watu nyie si invisible wote humu ni majini.
Nasemea tanzania nichezewe nanani humu ni vilaza tu ndio wapo hakuna mtu kama mtu wanaume waukweli wapo nje ya nchi wenye kila kitu kama wanaume huku mmeharibika kwa madawa na uchunwaji
Katika pita pita zangu nikaona mnatongozana na mtu
Masikini dada wa watu, jf washakuchezea?Leo ndio mwisho wakuwa jamii forum napenda kuwaaga wote kupitia uzii huu ngoja nijitoe humu kabisa siku moja kunamtu atatoa picha zangu kwania mbaya akisema huyu ni katoto kazuri nikadangaji nahuku mimi nimtu najiheshimu familia yetu niwatu wa maadili na wameshika dini.
Watu wakikudis sio poa tena ambao hawakujui so kwa herini this time it's for real.
Mama yako angekuwa na akili ya kijinga kama yako ungezaliwa shombeshombe. Na bado, tutakugegeda mpaka papuchi iwe kama ganda la embe.Sio jf na nyie ni watu nyie si invisible wote humu ni majini.
Nasemea tanzania nichezewe nanani humu ni vilaza tu ndio wapo hakuna mtu kama mtu wanaume waukweli wapo nje ya nchi wenye kila kitu kama wanaume huku mmeharibika kwa madawa na uchunwaji
EewaaaaaHalafu unakuta za bia zipo.
Mapenzi ni matamu ila hela ikiwepo ni matamu zaidi
[emoji23][emoji23]Ulienda arusha ukata mwanaume jana nikaona uzi upo mwanza unataka mwanaume...halafu unataka kuolewa JF?
Uchi huo huo mmoja?!
Bora useme weweIshu ya kuombwa hela nadhani kina kaka kwa sasa mnaongoza jamani, mimi mpaka nimeamua mapenzi basi mnapiga vibomu mnooo mpaka unajiuliza huyu mpenzi au marioo, kwakweli mnakera.
Wengi tu. Sister naomba bas jero ya soda. Au naumwa kweli nisaidie buku 2 ninunue supu huku mkononi ana sigara. Bado wanaokuja na gia za mkopo na baadae kutokomeaUna wanaume wangapi wanakuomba hela?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnadharau sana ndio maana dah naona hata nimehairisha kuolewa humu ni kero .
Tu bora niolewe kwingine.
Naondoka jf nimechoka kuitwa malaya na kila mtu.
Dah hamnijui mnaniita mdangaji hadi wadada wahumu waniona mdangaji.
Ngoja nihame nchi hii niende mbali.
We si umeniacha? Umenitelekezaaa
We unataka upewe sh ngap na ukiwa umenipa nin?au kwa kaz gani ulofanyaElfu kumi ndio nini bora mtu atoe bure tu.
Dah utaila au utaitupa njiani.
Elfu kumi hata nauli haitoshi .
Sijadharau mnatudharau nanyie wadada aibu zenu hata kama unanjaa bora utoe bure .
Ule kwa mshikaji uombe hata kashopping.
Ahaaaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23].... ..jf never boringLeo ndio mwisho wakuwa jamii forum napenda kuwaaga wote kupitia uzii huu ngoja nijitoe humu kabisa siku moja kunamtu atatoa picha zangu kwania mbaya akisema huyu ni katoto kazuri nikadangaji nahuku mimi nimtu najiheshimu familia yetu niwatu wa maadili na wameshika dini.
Watu wakikudis sio poa tena ambao hawakujui so kwa herini this time it's for real.
Mama yako angekuwa na akili ya kijinga kama yako ungezaliwa shombeshombe. Na bado, tutakugegeda mpaka papuchi iwe kama ganda la embe.
Haya
Bora konki konki arudi awape makavu na jinsi wanavyodanga siku hizi hawa wanaume....tulikuwa tumepumzishwa wanawake[emoji23] [emoji23]Pole sana mleta uzi.
Wengi tu. Sister naomba bas jero ya soda. Au naumwa kweli nisaidie buku 2 ninunue supu huku mkononi ana sigara. Bado wanaokuja na gia za mkopo na baadae kutokomea
Safi so nkiwa na wewe no mizingaTujiuze wapi kwanani mnadhani kila mtu anawaza kuliwa na malala haoi kanyie kunawadada kama sisi tunajituma nakila tulichonacho wanaume hawawezi kutununua hata waje na nini so usituweke pamoja nahao mnao wapa elfu kumi halafu mnajiona nikwakila mdada .
Dhamani yangu ndio maisha yangu.
Umenielewa naukome nahao magroup ya wenzio kunichanganya na vimada vyenu .
Mmenielewa maisha ni mwangu sijawahi uza k yangu kwamaana nasubiria mwanaume aje anioe kistaarabu so kama humu ndani kuna list ya wapumbavu wanaona wanawake ni wakujiuza kisa vihela vya mikopo mtukome na vinguo vya misaada na vigari vya mikopo na uchokaji wa maisha wenu.
Msituletee sisi .
Kazoeni hadhi zenu.