Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Ulienda arusha ukata mwanaume jana nikaona uzi upo mwanza unataka mwanaume...halafu unataka kuolewa JF?

Uchi huo huo mmoja?!

vipi unataka kumchongea mwengine
 
Ahaaaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23].... ..jf never boring
Wewe unaongoza kwa kuniona mi mdangaji na hunijui unachonijulia ni hapa tu katoto kazuri basi je nikikuuliza nimekuibia mchumba nimemchuna mchumba au michepuko yako wala so kwa nini unamadai ya kuita wenzio wadangaji je wewe tukikuita jina ambalo hupendi tena kila siku siutaona humu ni pachungu.
Mf. Nikuite malaya tena unatoa kwa mkopo utapenda .
Mimi nimechoka nikiwa na stress zangu vimeo ambao hawana ramani wanijilinganisha na mimi isitoshe wananishusha hadhi na hawanijui msinizoe mimi sio wema sepetu najitambua nataka nini.
Kama nikuacha kukoment humu nitatafuta blogs nyingine huku kunawatu boring wanajiona kama nini
Na ukiwafutilia maisha yao nikuact
 
Sio mateja ni ma gentlemen kama wewe. Sasa kama mtu anaweza omba omba mtu baki hivyo mpenzi wake hatomuomba?

Kwahiyo unakutana na watu hawakujui wanakuomba hela

Una bahati mwenzetu
 
Waambie wamezidi ubahili, mie nilikuwa napigiwa hesabu naambiwa kutoka ubungo hadi mbezi ni 1000 kwa m/kasi na 800 hadi kibaha unatumiwa 5000 nikaona upuuzi huu na mtu ana kazi hapo ila ubahiri wa hivi mm sipendelei
Kwani we ukienda unampelekea nin

Wote si mnaskia raha?sasa kwa nin ulipwe
 
Bora konki konki arudi awape makavu na jinsi wanavyodanga siku hizi hawa wanaume....tulikuwa tumepumzishwa wanawake[emoji23] [emoji23]
😂😂😂😂😂😂 kwani na humu wamo eee?

🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Elfu kumi ndio nini bora mtu atoe bure tu.
Dah utaila au utaitupa njiani.
Elfu kumi hata nauli haitoshi .
Sijadharau mnatudharau nanyie wadada aibu zenu hata kama unanjaa bora utoe bure .
Ule kwa mshikaji uombe hata kashopping.
Sasa huwa husikii utamu wowote nigundua kipindi nyie mnagegedwa mawazo yapo kwenye pesa unajiuliza sijui atanitoa ngapi leo naona mpo kwenye ujasiliamali sio tena mambo ya nature
 
Elfu kumi ndio nini bora mtu atoe bure tu.
Dah utaila au utaitupa njiani.
Elfu kumi hata nauli haitoshi .
Sijadharau mnatudharau nanyie wadada aibu zenu hata kama unanjaa bora utoe bure .
Ule kwa mshikaji uombe hata kashopping.
Hivi kwa nini mnaomba omba sana siku hizi?
 
Kumekucha

Back
Top Bottom