Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Mnadharau sana ndio maana dah naona hata nimehairisha kuolewa humu ni kero .
Tu bora niolewe kwingine.
Naondoka jf nimechoka kuitwa malaya na kila mtu.
Dah hamnijui mnaniita mdangaji hadi wadada wahumu waniona mdangaji.
Ngoja nihame nchi hii niende mbali.
Mmmh. 😳😳😳😳
 
Wanakera kuna vijidudu watu humu wanadhani wenzao wao nihali ya chinii hata maji hawawezi nunua .
Yaani ukicomment ukisema chochote wewe ni mdangaji eh hivi tanzania nani anataka kuolewa humu watu wanataka kuolewa nje eti wapate air fresh sio humu tokea uzaliwe unaishi tu humu
Dada andika Tanzania sio tanzania,kuwa mzalendo eti acha dharau pia
 
Mwanamke anaweza akawa na number 200 za wanaume kwenye simu yake.. na kila mmojae akamuomba buku ya vocha assume 50 wakasema hawana 150 wakakubali 150x1,000= 150,000 kwa siku assume anaomba mara tatu kwa week 150,00x3=450,000 kwa week...

Wanaume tuzinduke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh
 
Mnadharau sana ndio maana dah naona hata nimehairisha kuolewa humu ni kero .
Tu bora niolewe kwingine.
Naondoka jf nimechoka kuitwa malaya na kila mtu.
Dah hamnijui mnaniita mdangaji hadi wadada wahumu waniona mdangaji.
Ngoja nihame nchi hii niende mbali.
Kila siku unasema unaondoka JF lakini huondoki.
 
Una tatizo
Mnadharau sana ndio maana dah naona hata nimehairisha kuolewa humu ni kero .
Tu bora niolewe kwingine.
Naondoka jf nimechoka kuitwa malaya na kila mtu.
Dah hamnijui mnaniita mdangaji hadi wadada wahumu waniona mdangaji.
Ngoja nihame nchi hii niende mbali.
 
Mara ya ngapi unaaga??
Leo ndio mwisho wakuwa jamii forum napenda kuwaaga wote kupitia uzii huu ngoja nijitoe humu kabisa siku moja kunamtu atatoa picha zangu kwania mbaya akisema huyu ni katoto kazuri nikadangaji nahuku mimi nimtu najiheshimu familia yetu niwatu wa maadili na wameshika dini.
Watu wakikudis sio poa tena ambao hawakujui so kwa herini this time it's for real.
 
Wanawake aina yako ni wa kuhesabu na wachache. Binafsi huwa nakukubali sababu ww ni ile asilimia moja ambayo iko mjini. Wengime waliobaki ni wadangaji na njaa mpala kwenye kucha
Tujiuze wapi kwanani mnadhani kila mtu anawaza kuliwa na malala haoi kanyie kunawadada kama sisi tunajituma nakila tulichonacho wanaume hawawezi kutununua hata waje na nini so usituweke pamoja nahao mnao wapa elfu kumi halafu mnajiona nikwakila mdada .
Dhamani yangu ndio maisha yangu.
Umenielewa naukome nahao magroup ya wenzio kunichanganya na vimada vyenu .
Mmenielewa maisha ni mwangu sijawahi uza k yangu kwamaana nasubiria mwanaume aje anioe kistaarabu so kama humu ndani kuna list ya wapumbavu wanaona wanawake ni wakujiuza kisa vihela vya mikopo mtukome na vinguo vya misaada na vigari vya mikopo na uchokaji wa maisha wenu.
Msituletee sisi .
Kazoeni hadhi zenu.
 
Back
Top Bottom